Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutano😂😂😂
Nimejiuliza maswali mengi sana.Tokea lini Rais akawa na haki au wajibu wa kutoa vibali vya Mikutano kwa vyama vya siasa?Hata kama ni kweli kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya mikutano ya hadhara vinafanya fujo na kuharibu mali za uma,sheria za kuwadhibiti si zipo?
Mikutano ya vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Rais.Sasa leo Rais anadai kuwa yeye ndiye mtoa vibali.WTF!!!😂😂😂
Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya Mikutano vinaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za umma😂😂😂
Kuna mtu yeyote hapa ambae ana ushahidi wa Chadema au chama chochote cha upinzani kuharibu mali za uma katika mikutano yake ya kisiasa kama anavyodai Rais?
Haya mambo yamenishangaza sana.Ni maajabu makubwa kwangu mimi.Yanafikirisha pia, lakini cha zaidi ni kwamba yanachekesha sana.