Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Mkuu mimi si shabiki wa huyu mama lakini ukweli lazima usemwe.
Umemlisha maneno.
Hakuna mahali amesema yeye kama raisi anatoa vibali vya mikutano.

Mkosoe kwa makosa yake si mambo ya kuzusha.
Msikilize hapo mwanzo.Anasema "anaeongoza nchi"

Anaeongoza nchi ni Rais
 
Hatuwezi kumpa muda zaidi Rais ambae anavunja sheria za nchi yetu pendwa kila kukicha.

Leo anatamba mbele ya uma kuwa ni mtoa vibali vya mikutano ya vyama vya siasa. Pia anadanganya uma kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya mikutano ya hadhari vinaenda kuvunja vunja magari pamoja na mali nyingine za uma badala ya kufanya mikutano na ndiyo maana hatoi vibali hivyo.

Hii maana yake ni kwamba tukiendelea kumchekea chekea kesho ataamka na kubwa zaidi la kuiangamiza nchi yetu pendwa.

Kama CCM mmebadilika kuwa matahira pisheni wenye uwezo wa kuongoza waongoze nchi yetu pendwa.
Kwani kawasingizia ? Kasema kweli tupu. Mnataka muanze kumpelekesha Kama ilivyokua kwa kikwete ?
Hakuna kufurukuta mkae mtulie. Si hamna ustaarabu.
 
Nadhani hujamsikiliza uzuri Mhe. Rais mama yetu. Hakuna sehemu amesema Rais akitoa kibari. Tusimlishe maneno. Kauli nayo isikia hapo katika clip uloweka kasema "Unatoa kibari kafanyeni Mikutano..." Turudi darasani neno Unatoa... ni nafsi ya ngapi? Inawakilisha nini? Angetumia neno..."ninatoa kibari"....hapo sawa ni nafsi ya kwanza.
Hivyo Rais ametumia neno "Unatoa kibari..." kama nafsi ya pili,

Nadhani hujamsikiliza uzuri Mhe. Rais mama yetu. Hakuna sehemu amesema Rais akitoa kibari. Tusimlishe maneno. Kauli nayo isikia hapo katika clip uloweka kasema "Unatoa kibari kafanyeni Mikutano..." Turudi darasani neno Unatoa... ni nafsi ya ngapi? Inawakilisha nini? Angetumia neno..."ninatoa kibari"....hapo sawa ni nafsi ya kwanza.
Hivyo Rais ametumia neno "Unatoa kibari..." kama nafsi ya pili, ambayo inawakilisha mtoa kibari!
Sikiliza kwa umakini, utaelewa.
Shida kweli kweli hawafahamu kiswahili nao
 
Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.

Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutano😂😂😂

Nimejiuliza maswali mengi sana.Tokea lini Rais akawa na haki au wajibu wa kutoa vibali vya Mikutano kwa vyama vya siasa?

Mikutano ya vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Rais.Sasa leo Rais anadai kuwa yeye ndiye mtoa vibali.WTF!!!😂😂😂

Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya Mikutano vinaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za umma😂😂😂

Kuna mtu yeyote hapa ambae ana ushahidi wa Chadema au chama chochote cha upinzani kuharibu mali za uma katika mikutano yake ya kisiasa kama anavyodai Rais?

Haya mambo yamenishangaza sana.Ni maajabu makubwa kwangu mimi.Yanafikirisha pia, lakini cha zaidi ni kwamba yanachekesha sana.View attachment 2045213
NDIYO YAMETOKEA.....TUMWACHIE MUNGU
 
Tumpeni heshima yake stahiki Mh. Rais. Sasa kama hamuyataki hayo mbona huwa mnaomba kibali jeshi la polisi?
 
Lengo la chama chohote ni kuingia ikulu
Sasa ndio mvunjie watu magari na kufanya vurugu ...

Halafu nyie vishabiki maandazi ndio wanawaweka front line ili mvunjwe ugoko Vizuri 🤣 wamiliki wa chama na familia zao wanakimbilia nje ya nchi muwe na akili baasi 🤣
 
Back
Top Bottom