Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
Nikuombe kama unania dhahiri za kujifunza na kuielewa nchi yako hasa ktk maswala ya usalama. Nenda kwa mwanasheria ambaye hana ushabiki wa chama.Atakufafanulia sheria za usalama. Atakueleza unaposoma sheria, kuna kanuni zake na miongozo. Usishikirie kitu kimoja na kung'ang'ania.Wilderness Voice sheria ya vyama vya siasa iko very clear ndugu kama nilivyofafanua kwenye hoja uliyoikwoti kwa jibu lako hili
Sheria hiyo imeeleza jukumu la polisi kwa uwazi. Sheria ya Jeshi la Polisi iko considered...
Kama Polisi wanafanya vinginevyo, wanapingana na sheria na ndiyo maana kuna mgogoro huu unaoendelea sasa kati ya Polisi vs vyama vya siasa hasa vya upinzàni vs Political Parties Registrar
In reality, ktk situation hii, tatizo wala hata siyo sheria tena. Tatizo ni UBABE WA DOLA kukibeba chama kinachoongoza serikali yaani CCM ili kising'olewe..
Swali nini hili, unadhani kwa kutupa na kukanyaga sheria, katiba na HAKI za kisheria na kikatiba za watu kutaendelea hadi lini na waovu hawa wakaendelea kuwa salama...??
Pia mtafute mtu mwenye uzoefu serikalini, ambae anajua utendaji kazi na taratibu za maswala ya usalama. Fika ofisi za Mkuu wa Mkoa, au kwa DC au ofisi za usalama. Wambie unahitaji kufahamu abc za maswala ya usalama hasa linapokuja suala la vyama vingi na mikutano.
Kuna vitu vingine havihitaji kubishana. Ni kufanyia utafiti ili kujua kipi ni kipi. Shida Tanzania tunapenda kubishana mtandaoni lkn tafiti hatutaki fanya.
Kubishana hapa haita tusaidia. Kila mtu atajifanya anajua. Ha ha ha!