Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Wote ovyo tuMwendakuzimu na bibi nani bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ovyo tuMwendakuzimu na bibi nani bora?
Hiyo ni lugha ya kidiplomasia ndugu. Mana yake amemlinda aliuepita isionekane alikurupuka. Asingeweza kusema hadharani kwamba nimefungulia mikutano, ingeonekana anamtukana mwendazake. Kashafungua kwa lugha ya kidiplomasia.Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutano😂😂😂
Nimejiuliza maswali mengi sana.Tokea lini Rais akawa na haki au wajibu wa kutoa vibali vya Mikutano kwa vyama vya siasa?Hata kama ni kweli kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya mikutano ya hadhara vinafanya fujo na kuharibu mali za uma,sheria za kuwadhibiti si zipo?
Mikutano ya vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Rais.Sasa leo Rais anadai kuwa yeye ndiye mtoa vibali.WTF!!!😂😂😂
Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya Mikutano vinaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za umma😂😂😂
Kuna mtu yeyote hapa ambae ana ushahidi wa Chadema au chama chochote cha upinzani kuharibu mali za uma katika mikutano yake ya kisiasa kama anavyodai Rais?
Haya mambo yamenishangaza sana.Ni maajabu makubwa kwangu mimi.Yanafikirisha pia, lakini cha zaidi ni kwamba yanachekesha sana.View attachment 2045213View attachment 2045284
Wapinzani wa tanzania wanacho jua nu kutukana viongozi wakiamini ndio upinzan kuna wakati wanaacha siasa wanaanza ku attack viongozi personally, upinzani wana mambo ya hovyo sana.Kwani uongo ? Wapinzani wa Tanzania Wana vurugu hatari na matusi Yaani dizaini ya mdude nyangali . Jazba kibao hawana ustaarabu.
Alafu mbona kaongea kawaida tu kuelezea hali inavyokuwa 🤣 . Yaani ulivyoongea kwa jazba sipati picha ndio upo barabarani kwenye maandamano yenu yale si utatuvunjia magari wewe ? 😃
Mimi Sina chama.
Aisee acha uongo,samua hajasema rais anatoa vibali vya mikutano ya siasa na hajakitaja chama chochote kwa jina kuwa kinavunja magari,hiyo hotuba tumeisikia woteKatika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutano[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejiuliza maswali mengi sana.Tokea lini Rais akawa na haki au wajibu wa kutoa vibali vya Mikutano kwa vyama vya siasa?Hata kama ni kweli kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya mikutano ya hadhara vinafanya fujo na kuharibu mali za uma,sheria za kuwadhibiti si zipo?
Mikutano ya vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Rais.Sasa leo Rais anadai kuwa yeye ndiye mtoa vibali.WTF!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya Mikutano vinaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za umma[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu yeyote hapa ambae ana ushahidi wa Chadema au chama chochote cha upinzani kuharibu mali za uma katika mikutano yake ya kisiasa kama anavyodai Rais?
Haya mambo yamenishangaza sana.Ni maajabu makubwa kwangu mimi.Yanafikirisha pia, lakini cha zaidi ni kwamba yanachekesha sana.View attachment 2045213View attachment 2045284
Ikiwezekana hata kwa kumroga huyo mtanganyika Ili wachukue tu usikoni😂😂😂Utawala wa huyu Mzanzibar utasababisha hata ccm wenyewe waone umuhimu wa katiba mpya. Wasipofanya hivyo Zanzibar wana njia rahisi sana ya kutawala Tanzania. Wataacha Mtanganyika ashinde uchaguzi then akifa wao wanamalizia awamu
Wewe unavyoona kuna umuhimu wa kuwepo vyama vingi nchini?Wapinzani wa hapa bongo hawajielewi na hawaeleweki. Nimekuja kugundua Wao lengo lao hasa ni kupata mchongo na wao waingie Ikulu waitafune injii [emoji2]
Mara kikwete anachekacheka wanataka rais dikteta akaja Magu wakaanza kuomboleza [emoji1787][emoji1787]
Mara Lowassa fisadi hafai kabisa kwenye injii hii maraa heee ndio mgombea wao wa urais wakaanza kumtakasa loh . Hawasomeki kabisaa. Na walivyo na njaa hivi wakikamata nchi itakuaje [emoji1787]
Tumeshtukaaa
Nikisikiliza hotuba zake nataman tuanzishe chuo cha urais, ok hata Kama wanavunja magari sheria si zipo wakamatwe washtakiwe lakini kupoka haki za msingi kwa hoja mfu Kama hizo hapo ndo anasababisha tudai katiba mpya kwa nguvu
Kibibi cha kiarabu hata sijuhi CCM wamekiokota wapi, kinapuyanga tu .
Nchi ya Nyerere imepatikana
Na kupiga maushungiBado naitafuta angle ambayo anaimudu huyu Rais wetu sijaipata, labda kupanda ndege tu.
Hii inatia ukakasi kwelikweli ya uwezo wa mama kumpa miaka mingine, binafsi sikuamini kwani imekuwa ni mipasho zaidiAnasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutano😂😂😂
Na kurembua mijicho na kubana sauti na mitala.Na kupiga maushungi
She is hopeless fool kwa sababu nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria wala siyo kwa mujibu wa matamko ya Rais.Kwa kauli hii Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu amenifurahisha Sana...hongera Rais...uwe imara namna hii...
Anafungua mikutano yeye kama nani?Yeye ndiye katiba na sheria?Mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.Hiyo ni lugha ya kidiplomasia ndugu. Mana yake amemlinda aliuepita isionekane alikurupuka. Asingeweza kusema hadharani kwamba nimefungulia mikutano, ingeonekana anamtukana mwendazake. Kashafungua kwa lugha ya kidiplomasia.
Muwege siku moja moja na akili jamani hata Kama mmesomea SAUT
Mbona kwa jpm uliufyataShe is hopeless fool kwa sababu nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria wala siyo kwa mujibu wa matamko ya Rais.
Anafungua mikutano yeye kama nani?Yeye ndiye katiba na sheria?Mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.
Uvunjaji wa sheria katika mikutano hiyo hushughulikiwa kwa mujibu wa sheria wala siyo kwa mujibu wa Rais.
Wewe Behaviourist acha matusi na kashfa kwa Rais wa nchi...chunga mdomo wako...chunga ulimi wako...uwe na adabu na heshima kwa mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu...She is hopeless fool kwa sababu nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria wala siyo kwa mujibu wa matamko ya Rais.
Anafungua mikutano yeye kama nani?Yeye ndiye katiba na sheria?Mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.
Uvunjaji wa sheria katika mikutano hiyo hushughulikiwa kwa mujibu wa sheria wala siyo kwa mujibu wa Rais.
Mkuu wa nchi ambae ameingizwa madarakani na mapolisi hafai kuheshimiwa.Anapaswa atukanwe sana.Wewe Behaviourist acha matusi na kashfa kwa Rais wa nchi...chunga mdomo wako...chunga ulimi wako...uwe na adamu na heshima kwa mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu...
Samia awe na msimamo. Asiruhusu mikutano ya vyama vya siasa majukwaani maana vyama vingine vimo kazini kwa kutumiwa kuvunja umoja na amani ya watanzania. Vyama vyote ikwemo chama tawala viendeshe siasa za majukwaani kipindi cha kampeni za uchaguzi tu. Chama tawala na serikali yake vipewe muda kutekeleza ahadi zake bila vurugu. Ufanyaji siasa baada ya uchaguzi uhamie bungeni na kwenye mabaraza ya serikali za mitaa.Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutano😂😂😂
Nimejiuliza maswali mengi sana.Tokea lini Rais akawa na haki au wajibu wa kutoa vibali vya Mikutano kwa vyama vya siasa?Hata kama ni kweli kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya mikutano ya hadhara vinafanya fujo na kuharibu mali za uma,sheria za kuwadhibiti si zipo?
Mikutano ya vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Rais.Sasa leo Rais anadai kuwa yeye ndiye mtoa vibali.WTF!!!😂😂😂
Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya Mikutano vinaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za umma😂😂😂
Kuna mtu yeyote hapa ambae ana ushahidi wa Chadema au chama chochote cha upinzani kuharibu mali za uma katika mikutano yake ya kisiasa kama anavyodai Rais?
Haya mambo yamenishangaza sana.Ni maajabu makubwa kwangu mimi.Yanafikirisha pia, lakini cha zaidi ni kwamba yanachekesha sana.View attachment 2045213View attachment 2045284
Huyo Mama YENU atakua Rais wa hovyo kupata kutokea kuliko hata mwendazake. Rais gani anashindwa kutofautisha maneno ya kuongea kwenye MIPASHO na kwa Watu serious?Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.