Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Kwa sasa watu kama mtoa mada wanataka Mwendakuzimu arudi, wanamuona ni bora mara 100 zaidi ya Samia
Wapinzani wa hapa bongo hawajielewi na hawaeleweki. Nimekuja kugundua Wao lengo lao hasa ni kupata mchongo na wao waingie Ikulu waitafune injii ๐Ÿ˜ƒ

Mara kikwete anachekacheka wanataka rais dikteta akaja Magu wakaanza kuomboleza ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mara Lowassa fisadi hafai kabisa kwenye injii hii maraa heee ndio mgombea wao wa urais wakaanza kumtakasa . Hawasomeki kabisaa. Na walivyo na njaa hivi wakikamata nchi itakuaje ๐Ÿคฃ

Tumeshtukaaa
 
Hicho ulichokiandika kinahusiana nini na mikutano ya Hadhara?
 
Sure
 
Machowkor mtalia na kusaga Meno
 
Lengo la chama chohote ni kuingia ikulu
 
Lile kichaa lenu mbona lilikuwa linaongea pumba tupu na mitusi juu,sijui lilikuwa linavuta bange lile shetani maluuni
 
Ndio zao hao. Uzushii
Mkuu mimi si shabiki wa huyu mama lakini ukweli lazima usemwe.
Umemlisha maneno.
Hakuna mahali amesema yeye kama raisi anatoa vibali vya mikutano.

Mkosoe kwa makosa yake si mambo ya kuzusha.
 
 

Attachments

  • VID-20211215-WA0020.mp4
    3.2 MB
Msikilize hapo mwanzo.Anasema "anaeongoza nchi"

Anaeongoza nchi ni Rais.
Your browser is not able to display this video.
 
Nikisikiliza hotuba zake nataman tuanzishe chuo cha urais, ok hata Kama wanavunja magari sheria si zipo wakamatwe washtakiwe lakini kupoka haki za msingi kwa hoja mfu Kama hizo hapo ndo anasababisha tudai katiba mpya kwa nguvu
 
Chadema mwaka 2010 walinifirisi,nilikuwa na biashara yangu pale Arusha kipindi docta slaa na mke wake wanaleta vurugu biashara yangu ilivurugwa Sana na kikawa chanzo Cha Mimi kufirisika.

Naunga hoja ya rais,ashikilie hapo hapo! Pamoja Sana mama,here we go.

Chadema hawafai
 
Katiba ndo imetupa huyo, kama katiba ingekuwa inaturudisha labda kwenye uchaguzi sidhani kama tungekuwa naye hapo
 
Huyu hayupo vizuri ..sio bure
 
Ufirisike una Nini wewe..upo na makalio tu๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ