Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana👏👏👏👏👏
 
Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Yap![emoji119][emoji119][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu msimu unaanza, tulitabiri Yanga kuwa Bingwa wa Ligi kuu msimu huu! Ni jambo la kushukuru utabiri unaenda kutimia muda si mrefu.

Safari hii simba ataambulia kombe la Bonanza tu (Kombe la Mapinduzi), alilolipata mwezi January mwaka huu wa 2022.
 
Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Simba wanafurahia Mayele hajafunga. Kombe washaachana nalo [emoji28][emoji28]
 
Rekodi ni jambo jipya ambalo halijawahi kutokea

Una uhakika timu ya Yanga kutwaa Ligi ya Bara bila kufungwa ni jambo jipya?

Jitahidi kuwa na facts kabla ya kupost
Una akili sawasawa kijana??

Unajua maana ya rekodi??
Na sio jambo jipya ambalo halijawahi kutokea kijana acha kukalili wewe.

Linaweza kua limetokea mara kibao ila halijatokea kwa ukubwa kama linavyotokea sasa.

Ndio maana unaskia flani kavunja rekodi ya flani ni kua icho kitu kilishafanywa kabla ila sio kwa ukubwa huo.

Na yanga akichukua ubingwa bila kufungwa anazidi kuweka rekodi yale vizuri.

Tafuta maana ya rekodi na uelewe na sio kukalili kama ulivokalili halafu urudi tena.
Siku nyingine ni vema kuficha ujinga wako.
 
Back
Top Bottom