Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Yap![emoji119][emoji119][emoji123]Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Simba wanafurahia Mayele hajafunga. Kombe washaachana nalo [emoji28][emoji28]Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Rekodi ni jambo jipya ambalo halijawahi kutokeaYaap inawezekana kabisa mkuu.
Ni rekodi nzuri sana
Una akili sawasawa kijana??Rekodi ni jambo jipya ambalo halijawahi kutokea
Una uhakika timu ya Yanga kutwaa Ligi ya Bara bila kufungwa ni jambo jipya?
Jitahidi kuwa na facts kabla ya kupost