Inawezekanaje gari moja ikawa na number plate zaidi ya moja?

Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
Kwani namba ni Mali ya nani?
Basi mwenye namba anaweza badili anavyotaka
 
Na madereva wengi wanabadili usiku hizo plate number Kwa ajili ya kuzurura usiku kwenye starehe...
 
Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
Lipo uku Mbeya mtaan kwetu asubuh linanamba ya selikali mchan namba ya kawaida jion nyekundu

Zile 'Noah Nyeusi' zinazoogopeka Sana ambazo huwa zinazunguka huko mitaani katika harakati zao za kusaka 'mawindo yao' mle ndani huwa wanabeba idadi kubwa Sana ya number plates zenye Namba tofauti tofauti. Wakishafanya tukio lao mara moja wanabadilisha number plate, wanabandua number plate moja na kisha wanapachika nyingine kazi inaendelea.
NB: Elewa maana ya 'Noah Nyeusi.'
 
Jibu ni Ndiyo!

Mengi ya magari hayo huwa ni ya Serikali

Huwa yanabadirishwa plate numbers kadri ya matukio

Wenye uwezo wa kubadirisha plate numbers ni magari ya Mawaziri, Maafisa Usalama(Wasiojulikana), Makatibu Wakuu, Hata Wakurugenzi wa Halmashauri pia kutokana na matukio husika
 
Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
Mkuu kimbia tena kama limepaki karibu na nyumbani kwako. Bora uhame Nchi kabisa
 
Jibu ni Ndiyo!

Mengi ya magari hayo huwa ni ya Serikali

Huwa yanabadirishwa plate numbers kadri ya matukio

Wenye uwezo wa kubadirisha plate numbers ni magari ya Mawaziri, Maafisa Usalama(Wasiojulikana), Makatibu Wakuu, Hata Wakurugenzi wa Halmashauri pia kutokana na matukio husika

Pia Hata na Majaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufani
 
Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
Wanasema ni kawaida kwa viongozi wa serikali na taasis kutembea na plate namba zaidi ya moja.

Juzi kati tulikuwa na naib Mnyeti kwenye tukio la kiserikali, akanipita na gari lake la NW. Ile naenda kiwanja flan kujirusha nikuta gari kama lake limepaki nje lakin plate namba ya kiraia, alafu walivyowajinga gari ni toleo la 2024 wameweka namba za gari B…, naingia ndani namkuta mwamba mwenyewe.

Hata ile ya boss wa Tanesco mtu wangu alinitonya ni mali shirika, lilinunuliwa hivi karibu kwa ajiri ya boss wao, likadungwa plate number ya kampuni binasi
 
Pia Hata na Majaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufani
Ndiyo Mkuu

Ulishawahi kucheza mchezo wa kufumba macho kisha ukazungukwa na marafiki zako na mmoja kati yao anakukoa konzi Kichwani halafu unaambiwa otea nani aliyekupiga?

Kupitia mfumo huo, ndiyo maana inakuwa vigumu kuwabaini wasiojulikana as plates numbers zinabadirishwa hata baada ya kilomita 5 🙌
 
Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
Kwani nani huko anayebabwa na uwezo wake mwenyewe?
 
Back
Top Bottom