Inawezekanaje gari moja ikawa na number plate zaidi ya moja?

Inawezekanaje gari moja ikawa na number plate zaidi ya moja?

Habar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
Alafu ukiziingiza kwenye mfumo wa mashine kulipa au kuandikia fine hazisomeki/hazipo😆
 
Ni hatar mkuu nijilan yang apa ndy anaendesha ilo gar alf nitoleo la 2024 ila nambaA
Mbona siku hizi gari linabadilishwa bodi toka old fashion kuwa new model? Garil inabadilishwa shape ya mbele na nyuma na zinawekwa taa za Prado toleo jipya.
 
Back
Top Bottom