Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
πππHivyo ni vichaka vya upigaji tu hakuna la maana
Sio la mheshimiwa πLipo uku Mbeya mtaan kwetu asubuh linanamba ya selikali mchan namba ya kawaida jion nyekundu
Alafu ukiziingiza kwenye mfumo wa mashine kulipa au kuandikia fine hazisomeki/hazipoπHabar wakuu polen na majukum! Ivi inakuwaje gar moja kuwa na na namba 3 tofaut za usajili yan 1 ya kawaida T nyingine S ya selikali na nyingine nyekundu!
πNi hatar mkuu nijilan yang apa ndy anaendesha ilo gar alf nitoleo la 2024 ila nambaA
Labuda linamtafuta sativaLipo uku Mbeya mtaan kwetu asubuh linanamba ya selikali mchan namba ya kawaida jion nyekundu
Mbona siku hizi gari linabadilishwa bodi toka old fashion kuwa new model? Garil inabadilishwa shape ya mbele na nyuma na zinawekwa taa za Prado toleo jipya.Ni hatar mkuu nijilan yang apa ndy anaendesha ilo gar alf nitoleo la 2024 ila nambaA