Inawezekanaje mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa kujihusisha na ufisadi?

msovero

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
863
Reaction score
1,534
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa.

Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo wa idara hii na Kwa ufahamu mdogo nilionao ni kwamba ili mtu awe recruited na kuwa mtumishi wa idara hii anatakiwa kuwa na uzalendo wa hali ya juu wa kuipenda nchi katika hali zote.

Kadhalika mtumishi katika idara hii anapaswa kuwa si muumini wa vitendo vya rushwa, muhujumu uchumi, ufisadi n.k

Lakini ajabu ni kwamba kumekuwepo na hali ya baadhi ya waliowahi kuwa viongozi waandamizi wa idara hii kuhusishwa na vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia Mali.

Nachotaka kufahamu Je, ni kweli kwamba hata watumishi wa idara hii hawana uzalendo kiasi cha kujihusisha na vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia mali? na ni kipi hupelekea mtu wa aina hii kuwa recruited katika idara hii nyeti ya nchi?
 
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa. Hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii wanalipenda sana taifa lao, wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu, heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa.

Hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio. Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema, uhai mrefu ,awaondolee husda, mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO, UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
 
Kama rais tu anaweza kuwa fisadi inashindikana nini kwa mtumishi wa idara ya usalama alieko chini ya mteule wa rais?

Ufisadi ni tabia ya CCM hivyo ukisikia yoyote anaejihusisha na CCM ni fisadi ujue ni sawa na simba kumtafuna swala porini. Ni sehemu ya maisha yao.
 
Mungu akubariki jamaa
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa....hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii....wanalipenda sana taifa lao...wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu ,heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa....hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio.... Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema ,uhai mrefu ,awaondolee husda ,mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO ,UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
 
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa.

Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo wa idara hii na Kwa ufahamu mdogo niliona ni kwamba ili mtu awe recruited na kuwa mtumishi wa idara hii anatakiwa kuwa na uzalendo wa hali ya juu wa kuipenda nchi katika hali zote.

Kadhalika mtumishi katika idara hii anapaswa kuwa si muumini wa vitendo vya rushwa, muhujumu uchumi, ufisadi n.k

Lakini ajabu ni kwamba kumekuwepo na hali ya baadhi ya waliowahi kuwa viongozi waandamizi wa idara hii kuhusishwa na vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia Mali.

Nachotaka kufahamu Je, ni kweli kwamba hata watumishi wa idara hii hawana uzalendo kiasi cha kujihusisha na vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia mali? na ni kipi hupelekea mtu wa aina hii kuwa recruited katika idara hii nyeti ya nchi?
Wewe tafiti kwanza juu ya aliyewahi kuwa mkuu wa Idara, aliitwa General Kombe, na sababu za kuwa taken out.
Idara ni taasisi ya serikali kama taasidi nyingine, ni kwa vile madudu yake hayadajiliwi hadharani.
 
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa....hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii....wanalipenda sana taifa lao...wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu ,heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa....hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio.... Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema ,uhai mrefu ,awaondolee husda ,mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO ,UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
Ni kweli mkuu ,hawa wa kukusanya taarifa wengi ndio huwa ujuaji mwingi hasa intake ya kuanzia 2010- lakini wale wachakata taarifa ni watu bwana unaeza ukakaa na mtu hata miaka 100 kamwe usimjue labda siku afariki ndo utafahamu ..

Mungu awatunze sana hawa jamaa wanatulinda sana
 
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa....hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii....wanalipenda sana taifa lao...wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu ,heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa....hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio.... Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema ,uhai mrefu ,awaondolee husda ,mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO ,UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
Vipi huyu mheshimiwa aliyetutoka mbona anatajwa tajwa kwenye kashifa za ufisadi na alikuwa kachero mwandamizi?
 
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa.

Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo wa idara hii na Kwa ufahamu mdogo niliona ni kwamba ili mtu awe recruited na kuwa mtumishi wa idara hii anatakiwa kuwa na uzalendo wa hali ya juu wa kuipenda nchi katika hali zote.

Kadhalika mtumishi katika idara hii anapaswa kuwa si muumini wa vitendo vya rushwa, muhujumu uchumi, ufisadi n.k

Lakini ajabu ni kwamba kumekuwepo na hali ya baadhi ya waliowahi kuwa viongozi waandamizi wa idara hii kuhusishwa na vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia Mali.

Nachotaka kufahamu Je, ni kweli kwamba hata watumishi wa idara hii hawana uzalendo kiasi cha kujihusisha na vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia mali? na ni kipi hupelekea mtu wa aina hii kuwa recruited katika idara hii nyeti ya nchi?
Hoja yako sio katika jukwaa hili la siasa peleka huko jf intelligence, by the way Mungu hajatuumba kuwa maskin , hoja hapa sio mtu kuwa na mali nyingi , hoja kama amezipata kihalali iwe kwa kupewa , au pitia mshahara wake na malupulupu ambayo amabyo yapo kwa mjibu wa taratibu shida iko wapi,?

Wapi katika kanuni za utumishi wa uma imeandikwa kwamba mtumishi wa serikali anatakiwa kutokua tajiri ,
 
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa....hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii....wanalipenda sana taifa lao...wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu ,heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa....hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio.... Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema ,uhai mrefu ,awaondolee husda ,mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO ,UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
Asante kwa kutufurahisha mchana huu, mkuu.

Hao jamaa zako wa kitengo, wenyewe wakiisoma hii komenti yako, nao kwa mshangao mkubwa wanajiuliza: hivi huyu jamaa anawazungumzia jamaa gani hao?
 
Nachotaka kufahamu Je, ni kweli kwamba hata watumishi wa idara hii hawana uzalendo kiasi cha kujihusisha na vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia mali? na ni kipi hupelekea mtu wa aina hii kuwa recruited katika idara hii nyeti ya nchi?
Ni wanadamu, wana mapungufu tena mara nyingine makubwa kuliko yako na yangu, kwa kawaida ni watu wenye kupenda anasa, werevu, huamini katika nidhamu, ni majasiri, huwa wana tamaa (mbaya) na baadhi huwa na vinyongo/visasi.

Uzalendo ni dhana, sio kitu halisi chenye kupimika. Na dhana hiyo hutumika kama sime yenye makali kuwili.

Ila; Integrity ni muhimu na ya thamani kuliko uzalendo, wao pia hawana Integrity kama maboss zao.
 
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa....hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii....wanalipenda sana taifa lao...wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu ,heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa....hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio.... Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema ,uhai mrefu ,awaondolee husda ,mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO ,UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
umepotezwa. kama wapo field wanashiriki rushwa vizuri tu ila ile rushwa watakayochukua wanaipeleka kwa boss wao au popote pale palipo na maelekezo. hivi ukifanya kazi na mtu ukaona ni msafi kama malaika utashindwaje kumshtukia wakati wao siku zote huwa wanadisguise wasijulikane wala kushtukiwa? kwa taarifa yako, wanaweza kuwa wala rushwa wakubwa kuliko wewe ila wanakula kikazi.
 
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa....hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii....wanalipenda sana taifa lao...wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu ,heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa....hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio.... Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema ,uhai mrefu ,awaondolee husda ,mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO ,UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
Ila ulivyo waelezea ni kama unajielezea ww mwenywe 🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom