Inawezekanaje mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa kujihusisha na ufisadi?

Inawezekanaje mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa kujihusisha na ufisadi?

Tusisahau kwamba WIZI ni TABIA kama tabia nyingine tu.Kwa hiyo haijalishi yupo idara gani au taasisi gani;kama ni mwizi ataendelea na wizi tu.
 
Nimepata habari huku vijiwe vya kahawa na wazee waliowahi kuwafahamu hao jamaa....huwa ni wazalendo haswa....hao jamaa hawashiriki rushwa kabisa kabisaaa..hao jamaa wana moyo wa kulipenda sana taifa lao yaani kwa kifupi hao jamaa ninasikia huwa wana sifa za ziada za utii....wanalipenda sana taifa lao...wale wanaojulikana mitaani wakatajwa kuwa ni wakosefu wa adabu ,heshima na utii kwa nchi hao sio hao jamaa....hao ni ama WANAJIFANYA tu ama wanatumwatumwa sasa kwa sababu watu wamezoea kila mwenye kuvaa kaunda na kinembo kifuani ni hao jamaa hapana hao sio.... Mwenyezi Mungu awabariki popote huko waliko hao jamaa...Mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema ,uhai mrefu ,awaondolee husda ,mitihani ,ajali na madhila ya binadamu aaamin aaamin[emoji120]

Mwenyezi Mungu azidi kulilinda taifa letu dhidi ya MACHAFUKO ,UFISADI ,ULAFI ,VITA NA UGAIDI aaamin aaamin[emoji120]
Umenifanya hadi nimepaliwa na maji kwa kucheka.
 
umepotezwa. kama wapo field wanashiriki rushwa vizuri tu ila ile rushwa watakayochukua wanaipeleka kwa boss wao au popote pale palipo na maelekezo. hivi ukifanya kazi na mtu ukaona ni msafi kama malaika utashindwaje kumshtukia wakati wao siku zote huwa wanadisguise wasijulikane wala kushtukiwa? kwa taarifa yako, wanaweza kuwa wala rushwa wakubwa kuliko wewe ila wanakula kikazi.
Inaonekana unawafahamu vizuri et
 
Back
Top Bottom