Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Na sababu pekee ni kwa sababu Nyerere ni Mgalatia. Angekuwa mvaa kobazi wala usingeisikia hiyo kauli!Naona hapa Kuna mtu/kiongozi anatafutwa Ili kutupiwa lawama (Nyerere). Je, DR Congo nao pia ni misingi mibovu Yao iliyowekwa toka uhuru?
Je, hiyo misingi mibovu haiwezi kurekebishwa?
Note: Nakubaliana na wanasema "akili" ndiyo msingi wa Kila kitu.
Mkuu, nilichomaanisha hapo ni kuwa ikiwa tulichofundishwa kwenye historia ina ukweli, basi ni kwamba kuna wakati, hasa karne ya 15, ambapo Waafrika na Wazungu walikuwa na maendeleo na changamoto zinazolingana (lakini siamini, ila nilikuwa nikijibu hivyo mitihani kwa kuwa ndivyo nilivyoelekezwa na Mwalimu).Nani ambaye alikuwa ameshafika Ulaya na Afrika kwa wakati huo na kulinganisha viwango vyao vya kimaendeleo?
Na hii inahusianaje na comment yangu uliyoikwoti? 😳
Singapore ni mdogo wetu🤣.Nchi Ina miaka 60 ila mnataka maajabu ya kiuchumi?
China kwa miaka mingi walikuwa kwenye uchumi duni kabisa.Kama ni model za uzalishaji tuliaga za China but why chines wakafanikiwa kuliko sisi,sote tulikuwa hatuna technology na maarifa?
Ugali uongo daa we jamaa [emoji2][emoji75]Kila siku huwa naelezea kuwa Mungu alifanya upendeleo wakati anawaumba wazungu navyohisi alipokuwa anawaumba wazungu akawawekea ubongo ila alipokuwa anawaumba weusi akawawekea Ugali kichwani badala ya ubongo.
Plan ya Mungu kumuumba binadamu sidhani kama alikuwa anamanisha binadamu weusi. Tatizo la Afrika sio kwenye rasilimali zake lipo vichwani mwa watu wake.
Afrika tunapoelekea pamoja na neema ya bara letu itafika point tunadondoka kwa njaa kwa sababu kiakili hatujiwezi kabisa ndio maana tunashinda makanisani kutia huruma kwa Mungu. Na mbaya zaidi ma dini yenyewe yameletwa na wazungu ambao kwa sasa hawana time nayo sisi ndo tunayashobokea mpaka yanatuongezea umasikini wajinga sisi.
Mkuu, usimtamanie mwenzio mabaya. Kemea makosa yake, lakini usimuwazie uovu. Kumbuka kuna kitu kinaitwa KARMA!Tuwaombee kifo
Mbona anachosema ni ukweli ndugu?Wewe unasumbuliwa na self hate
Karma huwa haitokeiMkuu, usimtamanie mwenzio mabaya. Kemea makosa yake, lakini usimuwazie uovu. Kumbuka kuna kitu kinaitwa KARMA!
Kuufunga ubalozi wa Denmark nchini ni process iliyoanza mwishoni mwa mwaka 2020 baada ya Denmark kutoridhishwa na mwenendo wa Tanzania kutoheshimu demokrasia na haki za raia, ambao ndiyo msingi mkuu wa sera za mahusiano ya nje ya nchi zote za Nordic, ikiwemo Denmark.Sababu za kuufunga Ubalozi.
Hata mim naamini tumewekewa li ugali kichwani mkuu.Kila siku huwa naelezea kuwa Mungu alifanya upendeleo wakati anawaumba wazungu navyohisi alipokuwa anawaumba wazungu akawawekea ubongo ila alipokuwa anawaumba weusi akawawekea Ugali kichwani badala ya ubongo.
Plan ya Mungu kumuumba binadamu sidhani kama alikuwa anamanisha binadamu weusi. Tatizo la Afrika sio kwenye rasilimali zake lipo vichwani mwa watu wake.
Afrika tunapoelekea pamoja na neema ya bara letu itafika point tunadondoka kwa njaa kwa sababu kiakili hatujiwezi kabisa ndio maana tunashinda makanisani kutia huruma kwa Mungu. Na mbaya zaidi ma dini yenyewe yameletwa na wazungu ambao kwa sasa hawana time nayo sisi ndo tunayashobokea mpaka yanatuongezea umasikini wajinga sisi.
Hili swali ungelipeleka kwenye muhimili wa bunge.Denmark inatarajia kuufunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024. Ni kati ya nchi ambazo zimekuwa zikiipa Tanzania misaada, tokea ikiitwa Tanganyika hadi sasa ikiwa inajulikana kwa jina adhimu, Tanzania.
Lakini Denmark ni nchi ya namna gani?
Ukifanya ulinganisho, Tanzania imeizidi kwa mambo mengi isipokuwa ujinga na umaskini. Ina rasilimali nyingi sana kuizidi, na hata idadi ya watu tumeipita mbali sana.
Denmark, ni kanchi kadoogo, kenye ukubwa wa kilomita za mraba 42,920 lakini inaizidi kiuchumi Tanzania, nchi Kuubwa kieneo, yenye kilomita za mraba 945,087.
Denmark, ni kanchi kadoogo kenye watu milioni tano lakini inaipa misaada nchi kuubwa, Tanzania, yenye watu milioni sitini na moja.
Ni nini siri ya kanchi kadogo kuizidi nchi kubwa kama Tanzania? Imekuwa ikiisadia Tanzania tokea 1963, enzi hizo ikiitwa Tanganyika, lakini hakuna taarifa ya Tanzania ambayo ni nchi kubwa kuisaidia Denmark kanchi kadogo.
Imewezekanaje kwao lakini kwetu ikashindikana?
Mwingine anaweza kusema ni kwa sababu ya ukoloni, lakini hilo halina mashiko. Hata Korea Kusini ilishawahi kuwa koloni la Japan, lakini kwa sasa wanatukimbiza kiuchumi.
Ni nini walichogundua hao watu weupe ambao weusi wa Tanganyika na Zanzibar hawajagundua?
Angalia, hata eneo la Korea Kusini ni dogo sana ukililinganisha na ukubwa wa Tanzania. Ina kilomita za mraba 100,210 na watu milioni hamsini na moja.
Inawezekanaje kanchi kadoogo, Denmark, kuipa misaada nchi kuubwa, Tanzania?
Kwani unadhani ule huwa ni ukarimu? Ile ni rushwa.Nyakati za uchaguzi, viongozi wengi huwa wakarimu sana. Mara mgao wa khanga, fulana, sukari, sabuni, mpaka na hela.
Halafu watu hawahoji sababu za huo ukarimu wakati wa uchaguzi au karibu na uchaguzi tu.
Hata Serikali, kuna baadhi ya shughuli za kimaendeleo huzishughulikia uchaguzi unapokaribia, halafu wapiga kura kimyaa, hakuna kuhoji.
Najaribugu kuwaza watu weusi tulikosea wapi ili tusamehewe sipaoni Kuna watu humu humu saivi wanalaumu uongozi mbovu..
Ndani ya nchi yetu as if wakipewa wao nafasi watanyoosha mstari
Yani hata wapate hizo nafasi Mambo yatakuwa Yale Yale hayatobadikika ukifikiria sana inatia hasira ila unabaki kucheka..
Sijui labda mwenyezi Mungu ashushe malaika ndo aje atuongoze[emoji3]
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Singapore ilipata uhuru wake toka kwa Mwingereza mwaka 1963. Kwa hiyo kiumri, Tanganyika inaizidi Singapore kwa miaka miwili. Ilikuwa duni sana kiuchumi, lakini leo hii, huwezi kuilinganisha na Tanzania.Nikisema hoja yako ya kipuuzi, unaweza kusema nimekuonea, labda niseme kuwa huelewi chochote.
Ebu nipime uelewa wako kidogo:
Singapore, Malaysia, Thailand, hizi nchi zina umri gani? Unajua kuwa haya mataifa yote tulikuwa kwenye kiwango sawa cha umaskini 1961? Imekuwaje leo UNDP wanasema pale walipofikia Malaysia, wakabakia hapo hapo, wasuendelee zaidi, sisi kwa speed tunayoenda nayo itatuchukua miaka 250?
Vipi kuhusu mataifa kama Misri na India, yameendelea sana kwa sababu nibya zamani sana?
Fuatilia, kuna scientific study kubwa ilikwishafanyika ili kujua kwa nini baadhi ya mataifa ni maskini sana na mengine ni matajiri sana.
Labda !!Sasa wao waekua trained na nani nani kuwa na maendeleo na sisi aliyetu train kwa makusudi/bahati mbaya tuwe masikini ni nani?
Amini ndugu ubongo wetu hauko sawa na wa wazungu.
Kama rangi zetu na wao zimeweza kuwa tofauti unafikiri inashindikana vipi na bongo zetu kuwa tofauti.
Inauma sisi kuumbwa mazezeta ila huo ndio ukweli.
Tatizo letu ni elimu ya kijinga ya kuwa tegemezi kwenye ajira pekee tena za serikali na siyo ujuzi, pia hakuna uzalendo hata kidogo kutoka kwa watawala zaidi ni mafisadi makubwa na majangili yanayofunga tai na kupanda V8Denmark inatarajia kuufunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024. Ni kati ya nchi ambazo zimekuwa zikiipa Tanzania misaada, tokea ikiitwa Tanganyika hadi sasa ikiwa inajulikana kwa jina adhimu, Tanzania.
Lakini Denmark ni nchi ya namna gani?
Ukifanya ulinganisho, Tanzania imeizidi kwa mambo mengi isipokuwa ujinga na umaskini. Ina rasilimali nyingi sana kuizidi, na hata idadi ya watu tumeipita mbali sana.
Denmark, ni kanchi kadoogo, kenye ukubwa wa kilomita za mraba 42,920 lakini inaizidi kiuchumi Tanzania, nchi Kuubwa kieneo, yenye kilomita za mraba 945,087.
Denmark, ni kanchi kadoogo kenye watu milioni tano lakini inaipa misaada nchi kuubwa, Tanzania, yenye watu milioni sitini na moja.
Ni nini siri ya kanchi kadogo kuizidi nchi kubwa kama Tanzania? Imekuwa ikiisadia Tanzania tokea 1963, enzi hizo ikiitwa Tanganyika, lakini hakuna taarifa ya Tanzania ambayo ni nchi kubwa kuisaidia Denmark kanchi kadogo.
Imewezekanaje kwao lakini kwetu ikashindikana?
Mwingine anaweza kusema ni kwa sababu ya ukoloni, lakini hilo halina mashiko. Hata Korea Kusini ilishawahi kuwa koloni la Japan, lakini kwa sasa wanatukimbiza kiuchumi.
Ni nini walichogundua hao watu weupe ambao weusi wa Tanganyika na Zanzibar hawajagundua?
Angalia, hata eneo la Korea Kusini ni dogo sana ukililinganisha na ukubwa wa Tanzania. Ina kilomita za mraba 100,210 na watu milioni hamsini na moja.
Inawezekanaje kanchi kadoogo, Denmark, kuipa misaada nchi kuubwa, Tanzania?
Inaweza kulisha Africa nzimaDenmark ina uwezo wa kuilisha jumuiya nzima ya east Africa including DRC for years!
Siyo rushwa mkuu. Inasemekana inaitwa TAKRIMA!!!Kwani unadhani ule huwa ni ukarimu? Ile ni rushwa.