Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

Ukiona mtu anakupa msaada hakupendi na hataki ujitegemee.
Zamani wazee wa kichaga Mtoto akimaliza darasa la Saba anafukuzwa nyumbani kwa kuambiwa mkataba wako umeisha wa kula na kukaa hapa nyumbani,hii ili wapush wachaga wengi kupambana kwa uchungu na maumivu kwa njia yeyeto hadi wakawa juu.
watoto wao walikuja kuelewa wazee wao baada ya kufanikiwa kimaisha.
Misaada ni tools ya kuzidi kumfanya Muafrika atopee kwenye umasikini
o na misaada, wazungu wanawasaidia Waafrika kwa kuwapa pesa na misaada ili wazidi kuwa masikini zaidi ili waweze kuwatawala.
Siku ulaya itakapo acha kuipa pesa afrika ndipo afrika itakapoanza kuinuka, wanatumiaa misaada kupush ajenda zao za Siri mfano ushoga,nk.
Kwa kanuni za asili pia wanatumiaa misaada ili kuchukua baraka zetu kupitia kanuni ya ukitoa unabarikiwa zaidi.Atoae upata zaidi kuliko anaepokea.
Wanajua kabisa hizi pesa hazitofika chini zitadakwa juu kwa juu na kurudi kufichwa bank za ulaya na mafisadi,then wananchi ndio watabebeshwa mzigo wa madeni hadi waingie kaburini.
 
Kwa nini mtu mweusi kila alipo matatizo yake ni yale yale? Kuanzia Haiti, Visiwa vya Caribbean, Afrika kwenyewe na hata niggazi waliomo ndani ya Amerika yenyewe...

Kwa nini? 🤔🤔🤔🤔
Mbona vitabu vy historia vianaeleza kuwa kufikia karne ya 15 Afrika na ulaya zilikuwa zinalingana kimaendeleo?

Unataka kusema hata historia ni chenga la macho?
 
Ubongo si hoja, bali kile mtu anachoaminidhwa.

Mwalimu mashuhuri wa Elimu Nafsi (Saikolojia), Professor William James anasema, "Whatever the mind can conceive and believe, can achieve"
Kama ubongo si hoja iweje wao waaminishane vitu vinavyowaletea na maendeleo na sisi tushindwe hilo zoezi.

Kubali kataa UBONGO WETU NI DHAIFU
 
Mbona vitabu vy historia vianaeleza kuwa kufikia karne ya 15 Afrika na ulaya zilikuwa zinalingana kimaendeleo?

Unataka kusema hata historia ni chenga la macho?

Nani ambaye alikuwa ameshafika Ulaya na Afrika kwa wakati huo na kulinganisha viwango vyao vya kimaendeleo?

Na hii inahusianaje na comment yangu uliyoikwoti? 😳
 
o na misaada, wazungu wanawasaidia Waafrika kwa kuwapa pesa na misaada ili wazidi kuwa masikini zaidi ili waweze kuwatawala.
Siku ulaya itakapo acha kuipa pesa afrika ndipo afrika itakapoanza kuinuka, wanatumiaa misaada kupush ajenda zao za Siri mfano ushoga,nk.
Sasa kama wanaweza kupush hizo mnaita ajenda zao za siri sijui na kutupa misaada kwa lengo la kutufanya tuzidi kuwa masikini hamuoni kuwa wametuzidi akili?
 
Hivi DANIDA ni nini?
Hili ni shirika la kusaidia maendeleo la wizara ya mambo ya nje Denmark, hasa kwa kusaidia nchi zinazoendelea, kwa kutoa misaida ya kiutu na maendeleo hasa vijijini
 
Ni roho mbaya tu sisi kila mtu anajifikiria yeye na familia yake na wapambe wake wanaomsifu !! Wenzetu wanafikiria zaidi Nchi zao na wananchi wote kwa ujumla !!
Nasikia kipindi fulani Rais wa Marekani alishawahi kuutangazia ulimwengu kuwa hata kama nchi zote duniani zingegoma kuiuzia mafuta, wasingepungukiwa. Wana akiba ya miaka 100.

Sisi tuna akiba ya hela za Kigeni alau ya miaka 2? Sidhani!

Ila tumeweza kumpatia kila "kigogo" V8 la nguvu.
 
Eti anatoa mfano wa li mtu ambalo hata lenyewe linajijua na kujiita kichaa.
Yule ndo alikuwa anaenda ku collapsisha nchi sema Mungu akamuwahi.
Yaani Tanzania tuna hali mbaya Awamu ya Kwanza hadi ya 4 wangeamua wekeza walipozaliwa sijui nchi ingekuwaje. Awamu ya 5&6 wote wameamua jenga Ikulu walipozaliwa.
Hata huyu Mama naye anajenga kwao Tunguu Ikulu kimya kimya. Ukifatilia Flight radar huyu Mama halali Dodoma
 
Inawezekana sababu wao wako kinyume na sisi katika mengi. Ila kikubwa ni kwamba wamekabidhi nchi kwa watu serious na sio kuwapa madaraka watu wa hovyo kama tufanyavyo huku kwetu.
Tatizo ni Nyerere
 
Ujamaa sio tatizo endapo ungeboreshwa kidogo. Shida ni kukumbatia wajinga madarakani.

Siasa imegeuzwa ajira na wananchi tumekubaliana na hilo. Sisi ndio tatizo namba 1! Siku tukijitambua tukasema hapana imetosha sasa, maendeleo ya kweli yatapatikana.
Nchi gani ya kijamaa pure ina manendeleo?
 
Uzalendo haukai pamoja na kutowajibika. Ukishaona taifa linakumbatia viongozi wazembe na wasiotaka kuwajibika jua maendeleo yatabakia kuwa historia. Umaskini ndio utabaki kuwa wimbo milele.

Utawala bora na siasa safi ndio key.
Mfano ni CAG report hakuna aliyewajibishwa wala kuwajibika.
China watu wangesha nyongwa mapema sana
 
Nyakati za uchaguzi, viongozi wengi huwa wakarimu sana. Mara mgao wa khanga, fulana, sukari, sabuni, mpaka na hela.

Halafu watu hawahoji sababu za huo ukarimu wakati wa uchaguzi au karibu na uchaguzi tu.

Hata Serikali, kuna baadhi ya shughuli za kimaendeleo huzishughulikia uchaguzi unapokaribia, halafu wapiga kura kimyaa, hakuna kuhoji.
Ndio uone wananchi walivyo wajinga, eti mtu anapewa chumvi kwa kazi ya miaka 5
 
Akitokea kiongozi akataka kubadili hizo mentatility anapingwa na kuitwa majina ya ajabu ajabu. Nchi zote zenye maendeleo zimejengwa kwa jasho na damu.
Chini hujengwa mwanzoni, ukishafika huku tulipo ngumu sana
 
Tatizo letu ni misingi mibovu iliwekwa toka tulipopata uhuru.
Naona hapa Kuna mtu/kiongozi anatafutwa Ili kutupiwa lawama (Nyerere). Je, DR Congo nao pia ni misingi mibovu Yao iliyowekwa toka uhuru?
Je, hiyo misingi mibovu haiwezi kurekebishwa?

Note: Nakubaliana na wanasema "akili" ndiyo msingi wa Kila kitu.
 
Embu subiri kwanza, umesemaje? kwamba wanataka kuufunga ubalozi? Wametuhusisha kutoa maoni?Itakuwaje sasa? Wakija kufanya maamuzi wawe kwanza wanatuuliza wenda kuna kibabu changu huko mtaenda kukitembelea ubarozi uendelee bana huwezi jua nikawa huko nikataka msaada wa ubalozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lishatolewa ufafanuzi kuwa wanafunga kupunguza gharama, na kupeleka Ubalozi sehemu ambazo zina matatizo.
 
As long as watu Kama
1. Mwigulu
2. January
3. Nape
4. Mbarawa
Ndio wanasaini mikataba kwenye nchi hii, hakika Kuna siku tutapokea misaada kutoka Rwanda.
Tuwaombee kifo
 
Back
Top Bottom