bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Yote hayo yamekuja baada ya watawala na watawaliwa kuuana sana,ndipo heshima ikaja.mifumo ya Europe na kwetu ni tofauti kabisa.Uwajibikaji uko juu sana.kwa pande zote kwa serikali na kwa wananchi
Huko ulaya wanachi wanaogopwa sana na wanasiasa huku kwetu wanasiasa wanaogopwa sana na wananchi.
Yaani serikali unaiweka madarakani mwenyewe halafu ikishaingia inaanza kukukupa vitisho ukiihoji
Tz ni nchi ya matamko,vitisho na upigaji kwa ngazi zote
Mwananchi ukiizingua Serikali unashughulikiwa haswa bila kujali we ni nani na Serikali ikiwazingua wananchi unashughulikiwa haswa so wanaheshimiana.
Huku sheria ni kwa ajili ya watu masikini tajiri kukaa jela ni mapenzii yake.
Ufisadi ndio ushujaa,kule unapotea.