bob_fundi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2025
- 457
- 705
Habari zenu ,poleni na majukumu ya kazi.
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu kuna dogo alikuwa alikuwa anasoma bachelor degree mwaka 2023/2024 chuo cha st john lakn alikapiliwa na changamoto za kipato ikafanye afute usajili (diregistration).
Sasa akaomba chuo mwaka huu akapata lakn kwa bahati mbaya taarifa zake zinagoma kutoka kwenye mfumo wa sipa japo kuwa allocation yake inasoma kwenye chuo cha sasa alicho pangiwa .ila kujisajili imekuwa ngumu.
Loan officer amepambana lakn bado mfumo unagoma japo kuwa.bado loan officer anaendelea kumpambania .
Nilikiuwa naomba kuuliza hivi inachukuwa muda gani mpaka apate desrbesement Disbursement?
Na kwa mtu ambaye alisha wai hama chuo utaratibu wa kupata mkupo unachukua muda gan?