Incitement au Solicitation, Reckless endangerment, Exploitation pamoja na Lese majesty ni makosa ya Kisheria aliyotenda Mange Kimambi

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)

2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.

Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao

Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance

3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation

4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani
Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations

5: Treason (Uhaini), mdau wa JF silent lion ameona hili kosa. Nikweli kwasababu Mange alifanya disinformation alitangazia uma kuwa Jeshi la Tanzania linampango wa kupindua Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kosa hili linatosha kabisa kumwajibisha mhalifu huyu kwasababu ni uhaini kupotosha Wananchi kwa kutumia mihimili ya Taifa

Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano

Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
 
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)

2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.

Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao

Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance

3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation

4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani

Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations

Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano

Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Pakome leo kazi yako ngumu
 
Nchi gani imevurugika
 
Unaweza kuthibitisha ama kuleta clip Mange akiwaambia watu waharibu miundombinu?

Kama huwezi basi kaa kimya
 
Pakome leo kazi yako ngumu
Ni makosa kushawishi watu kwenda kwenye matukio hatarishi pasipo kulinda maisha yao
Life Insurance aliyowapa iko wapi? Hapa vijana tujiulize sana
 
FB_IMG_1762877227823.jpg
FB_IMG_1762873893989.jpg
 
Unaweza kuthibitisha ama kuleta clip Mange akiwaambia watu waharibu miundombinu?

Kama huwezi basi kaa kimya
Wananchi wana Ushahidi wa kutosha na hasa vijana wa Gen Z na wanaweza kumwishtaki kwa kutokuwahakikishia usalama wa maisha yao, Life Insurance
 
Ni makosa kushawishi watu kwenda kwenye matukio hatarishi pasipo kulinda maisha yao
Life Insurance aliyowapa iko wapi? Hapa vijana tujiulize sana
CCM ilishakufa ndio maana vijana kama nyie mnapata shida hata kujenga hoja ya kuwatetea.

Hata kwenye vita duniani ambapo kila upande una silaha za moto na Hatari huwa lengo la kwanza ni kuhakikisha hakuna maisha ya mtu yoyote yanapotea.

Ndio maana kunakitu kinaitwa Prisoners of war, mtu akiwa hana silaha kwa Sheria za zote duniani haitakiwi kuuliwa.

Angalia vita ya Ukraine-Russia, Israel-Hamas, huwa wanaambiana kabisa nenda Sehemu fulani
 
Kama hawa ndio wasomi wa CCM sis sishangai kuona walimpa majukumu makubwa form four failure.

1. Mange sio mmarekani ana green card
2. Mange post zake zote za kabla ya tarehe 19 alisisitiza maandamano ni ya amani
3. Mange hajapiga risasi raia hata mmoja, wauaji mmewakumbatia nyinyi huko chama cha majambazi
 
Ni kweli. Hii ni thread yake ya sita kwa leo inayohusu Mange Kimambi na maandamano. Na hakuna po pote anapogusia kuhusu kiini hasa cha maandamano wala maelfu ya watu waliouwawa. Halafu anasema ni mwanasheria kutoka OUT. Kazi anayo tena pevu!

Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

Ana threads nyingi kuliko picha za watu walioneda kupiga kura 🤣🤣🤣
 
Ni makosa kushawishi watu kwenda kwenye matukio hatarishi pasipo kulinda maisha yao
Kwamba wananchi wa Tanganyika bila kuambiwa na Mange, hawana ufahamu na utashi wa kupinga maovu yanayofanywa na watawala kama utekaji, mauaji, wizi wa kura, uonevu, ufisadi, nk..??

Madhila yote hayo yamesababishwa na watawala waovu, siyo Mange
 
Wananchi wa Tanzania wengi wao ni wasomi sio kwamba hawajui namna ya kutatua matatizo kwa kufuata Sheria bali waliongozwa vibaya na Wahalifu
 
Back
Top Bottom