Incitement au Solicitation, Reckless endangerment, Exploitation pamoja na Lese majesty ni makosa ya Kisheria aliyotenda Mange Kimambi

1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)

2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.

Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao

Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance

3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation

4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani

Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations

Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano

Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Kakojoe ukalale ukweli ni kwamba huyu mamnge pamoja na ujinga wake ndio ameonyesha kuamsha watanzania wengi na ushawishi mkubwa sana anao kwa sasa viongozi waliokuwa wakidhani nchi ni kama mali yao binafsi kwa sasa wapo na pressure na visukari tu...
 
Kama hawa ndio wasomi wa CCM sis sishangai kuona walimpa majukumu makubwa form four failure.

1. Mange sio mmarekani ana green card
2. Mange post zake zote za kabla ya tarehe 19 alisisitiza maandamano ni ya amani
3. Mange hajapiga risasi raia hata mmoja, wauaji mmewakumbatia nyinyi huko chama cha majambazi
Ikiwa sio raia basi ni rahisi kuwajibishwa kwa makosa yake lakini kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa ana uraia wa Marekani
 
Wananchi wa Tanzania wengi wao ni wasomi sio kwamba hawajui namna ya kutatua matatizo kwa kufuata Sheria bali waliongozwa vibaya na Wahalifu
Jitihada zote za umma wa Watanzania kupata haki kwa amani zilisha shindikana. Kila mwenye akili anajua hilo.

Wananchi wanataka haya:
Katiba mpya, Tuma huru ya uchaguzi, Kukoma kwa utakaji, mauaji, ufisadi, uonevu, nk.
Mkitekeleza hayo hakuna mtu ataandamana
 
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)

2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.

Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao

Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance

3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation

4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani

Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations

Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano

Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Ongezea kosa jengine la kushawishi uasi wa kijeshi na kutaka kupindua utawala wa Kiraia, pia kuhatarisha usalama wa taifa kwa kurusha maudhui yanayoonyesha kua wanajeshi wako tayari kuiasi serekali na nchi yao
 
Swadakta
 
Hapa Sheria za nchi zilichelewa kutoa mwafaka lakini zipo za Kimataifa ambazo hazikutumika
 
Ikiwa sio raia basi ni rahisi kuwajibishwa kwa makosa yake lakini kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa ana uraia wa Marekani
Kabla hujamuwajibisha Mange unatakiwa kuwawajibisha kwanza walioua raia wasio na silaha
 
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)

2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.

Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao

Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance

3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation

4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani

Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations

Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano

Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Halafu wale waliwamiminia risasi watu wakiwa nyumbani kwao tuwape nishani za ushujaa sio?
 
Ongezea kosa jengine la kushawishi uasi wa kijeshi na kutaka kupindua utawala wa Kiraia, pia kuhatarisha usalama wa taifa kwa kurusha maudhui yanayoonyesha kua wanajeshi wako tayari kuiasi serekali na nchi yao
Hili limeanguka kwenye Treason na nikweli alitenda kwasababu alisambaza disinformation
 
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)

2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.

Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao

Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance

3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation

4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani
Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations

5: Treason (Uhaini), mdau wa JF silent lion ameona hili kosa. Nikweli kwasababu Mange alifanya disinformation alitangazia uma kuwa Jeshi la Tanzania linampango wa kupindua Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kosa hili linatosha kabisa kumwajibisha mhalifu huyu kwasababu ni uhaini kupotosha Wananchi kwa kutumia mihimili ya Taifa

Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano

Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Nitaweza kutoa kamchango kokote iwapo nikafahamu yafuatayo,je unao ufahamu wa kwanini mtajwa ameamua kujitoa kwa ajili ya yote uliyoorodhesha yawe sahihi kwa tafsiri yako au laa. Na pia je wewe ni mnufaika au sehemu ya hawa nyonya damu wanaorushiwa mawe na mtajwa? Na je upi msimamo wako ama mawazo yako kuhusiana na yaliyojia siku ya uchaguzi/uchafuzi na baada na athari zake kwa jamiii?Na je nini chanzo cha kufika katika haya yote?
 
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)

2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.

Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao

Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance

3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation

4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani
Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations

5: Treason (Uhaini), mdau wa JF silent lion ameona hili kosa. Nikweli kwasababu Mange alifanya disinformation alitangazia uma kuwa Jeshi la Tanzania linampango wa kupindua Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kosa hili linatosha kabisa kumwajibisha mhalifu huyu kwasababu ni uhaini kupotosha Wananchi kwa kutumia mihimili ya Taifa

Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano

Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Umesomea chuo gani wewe taahira? Hata vyuo vya Tanzania haviwezi kusema huo ujinga wako. Tangu lini kuhamasisha ni kosa? Kila mtu ana akili timamu, hivyo hayo mambo ya incitement ni mambo binafsi yasiyoweza kubeba lawama au adhabu zozote hata kwa sheria za Tanzania.
Inaonekana wewe na Muliro mlikuwa chuo kimoja, lakini akili zenu hazikuwa na akili, unaongea kama unajiharishia, pumbavu mkubwa wewe usiyeelewa.
 
Jitihada zote za umma wa Watanzania kupata haki kwa amani zilisha shindikana. Kila mwenye akili anajua hilo.

Wananchi wanataka haya:
Katiba mpya, Tuma huru ya uchaguzi, Kukoma kwa utakaji, mauaji, ufisadi, uonevu, nk.
Mkitekeleza hayo hakuna mtu ataandamana
KATIBA YA ZAMANI UNAIJUA ?
 
Back
Top Bottom