Pakome leo kazi yako ngumu1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)
2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.
Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao
Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance
3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation
4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani
Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations
Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano
Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Nchi gani imevurugika1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)
2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.
Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao
Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance
3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation
4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani
Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations
Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano
Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Unaweza kuthibitisha ama kuleta clip Mange akiwaambia watu waharibu miundombinu?1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)
2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa Tanzania walipokwenda kufanya matukio hatarishi.
Kisheria Mange Kimambi ndiye anayepaswa kufidia gharama zote za uhai ulipotea wa Gen Z kwasababu ndiye aliyewashawishi kupoteza uhai wao
Rai yangu kwa vijana wa Gen Z wawe wanamuuliza Mange Kimambi fidia ya maisha yao endapo yatadhurika kwa namna yeyote kama vile Jeshi la Tanzania linavyolipwa fidia na Serikali na sio kukurupuka pasipokuzingatia Life Insurance
3: Exploitation, hii amefanya Mange Kimambi yaani ni kitendo cha kunufaika kupitia jasho la watu wengine. Mange Kimambi amekuwa akitaka kunufaika na jasho la Gen Z na ndiyo sababu kubwa inayomfanya ajifiche na kutokutaka kushiriki kwenye vurugu za aina yeyote ili baada ya vurugu hizo kumalizika kwa ushindi anufaike huku vijana wa Gen Z wakiwa wamepoteza uhai wao. Hivyobasi vijana wa Gen Z wahakikishe Mange Kimambi anashiriki physically ili kufuta kashfa ya Exploitation
4: Lese majesty hili ni kosa la kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine isiyokuwa yako. Ikumbukwe kuwa Mange Kimambi kwasasa ni Mmarekani kwahiyo anatumia uraia wake kudhalilisha mamlaka za nchi nyingine huku akijificha kwenye mgongo wa Marekani
Amekuwa akitukana viongozi na kuwadhalilisha kwa kutumia kauli chafu, hapa Serikali ya Tanzania ijikite kwenye Defamation of nations
Kwanini kisheria inatambulika kama vurugu na siyo maandamano? Hii ni kwasababu vijana hawa hawakuwa na kibali halali cha kisheria cha kuendesha maandamano
Kwa kupitia makosa haya manne Watanzania wana kila sababu ya kumtuhumu Mange Kimambi kuwa ni mhalifu na anapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
Na waliowaua wao hawana kosa?Ni makosa kushawishi watu kwenda kwenye matukio hatarishi pasipo kulinda maisha yao
Life Insurance aliyowapa iko wapi? Hapa vijana tujiulize sana
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake

Wananchi wana Ushahidi wa kutosha na hasa vijana wa Gen Z na wanaweza kumwishtaki kwa kutokuwahakikishia usalama wa maisha yao, Life InsuranceUnaweza kuthibitisha ama kuleta clip Mange akiwaambia watu waharibu miundombinu?
Kama huwezi basi kaa kimya
CCM ilishakufa ndio maana vijana kama nyie mnapata shida hata kujenga hoja ya kuwatetea.Ni makosa kushawishi watu kwenda kwenye matukio hatarishi pasipo kulinda maisha yao
Life Insurance aliyowapa iko wapi? Hapa vijana tujiulize sana
Ni kweli. Hii ni thread yake ya sita kwa leo inayohusu Mange Kimambi na maandamano. Na hakuna po pote anapogusia kuhusu kiini hasa cha maandamano wala maelfu ya watu waliouwawa. Halafu anasema ni mwanasheria kutoka OUT. Kazi anayo tena pevu!Pakome leo kazi yako ngumu
Ana threads nyingi kuliko picha za watu walioneda kupiga kura 🤣🤣🤣Ni kweli. Hii ni thread yake ya sita kwa leo inayohusu Mange Kimambi na maandamano. Na hakuna po pote anapogusia kuhusu kiini hasa cha maandamano wala maelfu ya watu waliouwawa. Halafu anasema ni mwanasheria kutoka OUT. Kazi anayo tena pevu!
1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja Sheria za nchi ikiwemo kuharibu miundombinu ya Wananchi na Serikali yake
(Mali za Wananchi pamoja na za Serikali ziliteketezwa kwa moto)
2: Reckless endangerment, Mange Kimambi alituma Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kwenda kufanya matukio hatari yaliyogharimu uhai wao pasipo kulinda usalama wa maisha yao hasa life Insurance, mhalifu huyu hakulinda uhai wa vijana hawa Wachapakazi wa...
- Pakome
- maandamano ya oktoba 29 mange kimambi
- Replies: 33
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao
Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli
Bali inachohofia ni Uharibifu wa Uhai na Mali za Wananchi wake kwasababu katika vurugu ya aina yeyote ile, hasira inaweza kuzaliwa kati ya Wananchi au Serikali na ikasababisha matendo mabaya yanayosababishwa na hasira lakini baada ya hasira kuisha yakabaki majuto
Tahadhari ya kwanza Serikali inayozingatia ni kuwa...
- Pakome
- jamhuri jamhuri ya muungano maandamano mali muungano pamoja serikali tanzania uhai uharibifu wake wananchi watanzania
- Replies: 3
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki
Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli
Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa ni namna gani uliwapenda mpaka ukaamua kufa nao na sio wao wafe kwaajili yako huku ukiwa umebakia ukila matunda ya kazi ya waandamanaji waliokufia
- Pakome
- hapo kinyume kuitwa maandamano mange mange kimambi mhalifu tapeli vizuri wewe
- Replies: 83
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Hata watu hatujamaliza wengine arobaini ya Marehem wetu waliotangulia mbele ya Haki, umekaa ulaya unawaambia watanzania waandamane ? Huyu mtu ni mzima? Kiakili?
Watanzania siku ambayo mtashutka kua watu wanatumiwa itakua too late na tutakua tumeshaharibu nchi yetu na maisha ya wengi kupotea.
Tunaruhusuje kutumika na mtu ambaye kwanza kaukana utanzania na kua mmarekani, Mimi nasema wote walioanzisha hizi movement kuanzia NRNE hawakufanya jitihada za makusudi kabisa kwanza kuonana na Mhe Rais, pili kama kiongozi kitu Cha kwanza ni kulinda amani ya nchi uliyopo na watu wake, walikua na...
- Tochuku
- mange kimambi
- Replies: 129
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kwamba wananchi wa Tanganyika bila kuambiwa na Mange, hawana ufahamu na utashi wa kupinga maovu yanayofanywa na watawala kama utekaji, mauaji, wizi wa kura, uonevu, ufisadi, nk..??Ni makosa kushawishi watu kwenda kwenye matukio hatarishi pasipo kulinda maisha yao
Usiogope kwasababu nitafafanua vizuri kuhusiana na upande wa Serikali leo nimeanza na upande wetu sisi WananchiNi kweli. Hii ni thread yake ya sita kwa leo inayohusu Mange Kimambi na maandamano. Na hakuna po pote anapogusia kuhusu kiini hasa cha maandamano wala maelfu ya watu waliouwawa. Halafu anasema ni mwanasheria kutoka OUT. Kazi anayo tena pevu!
1. Incitement au Solicitation, Reckless endangerment, Exploitation pamoja na Lese majesty ni makosa ya Kisheria aliyotenda Mange Kimambi
2. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake
3. https://www.jamiiforums.com/threads/watanzania-tuna-la-kujifunza-kutokana-na-matatizo-tuliyopata-somo-la-kwanza-ni-kulaaniwa-na-sheria-kwa-kuidharau-na-kujichukulia-maamuzi-wenyewe.2398847/
4. Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki
5. Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano ili ufe nao kinyume na hapo wewe ni Mhalifu na Tapeli
Wananchi wa Tanzania wengi wao ni wasomi sio kwamba hawajui namna ya kutatua matatizo kwa kufuata Sheria bali waliongozwa vibaya na WahalifuKwamba wananchi wa Tanganyika bila kuambiwa na Mange, hawana ufahamu na utashi wa kupinga maovu yanayofanywa na watawala kama utekaji, mauaji, wizi wa kura, uonevu, ufisadi, nk..??
Madhila yote hayo yamesababishwa na watawala waovu, siyo Mange