India na China waamshiana mzuka kisa mkoa

... wote si BRICS hawa? In fact the giants of BRICS! Giant mwingine Russia naye anavurugana na dunia. Let's wait and see!
hapo hakuna BRICS ni nchi mbili tu na sio tano kama jina linavyosema

Ni CHINA na RUSSIA tu zenye mfumo wa kitawala unaofanana wa kidikteta

Brazil + India + South Africa zina mifumo ya demokrasia tena iliyokomaa

Haya makundi mawili hata siku moja hayawezi elewana katika lowest level ya human system of governing their daily lifes.

Hapo ikifika muda push comes into shoves,Brazil,India and South Africa zitaji align na other democratic countries in the world na kuziacha CHINA na RUSSIA upande wao

Ndio maana unaona China inazogeza na Russia zaidi

Mifumo ya maisha ndio ultimate systems human beings wanafia hapo.....

Huwezi peleka authoritarism ya China na Russia kwenye nchi za Brazil,India na South Africa wananchi wata revolt usiku huo huo no matter what you say!
 
Xi Jinping ana tabia za kilafi na tamaa kama rafiki yake Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…