India na China waamshiana mzuka kisa mkoa

India na China waamshiana mzuka kisa mkoa

... wote si BRICS hawa? In fact the giants of BRICS! Giant mwingine Russia naye anavurugana na dunia. Let's wait and see!
hapo hakuna BRICS ni nchi mbili tu na sio tano kama jina linavyosema

Ni CHINA na RUSSIA tu zenye mfumo wa kitawala unaofanana wa kidikteta

Brazil + India + South Africa zina mifumo ya demokrasia tena iliyokomaa

Haya makundi mawili hata siku moja hayawezi elewana katika lowest level ya human system of governing their daily lifes.

Hapo ikifika muda push comes into shoves,Brazil,India and South Africa zitaji align na other democratic countries in the world na kuziacha CHINA na RUSSIA upande wao

Ndio maana unaona China inazogeza na Russia zaidi

Mifumo ya maisha ndio ultimate systems human beings wanafia hapo.....

Huwezi peleka authoritarism ya China na Russia kwenye nchi za Brazil,India na South Africa wananchi wata revolt usiku huo huo no matter what you say!
 
India wanadai ni mkoa wao na wameupa jina "Arunachal Pradesh", Mchina naye ameupa jina "South Tibet" na wote kila mmoja anaamini ni mkoa waliopokezwa na mababu zao na hawapo tayari kuachia hata kipande, na mataifa yenyewe na makubwa na kila moja lina silaha za nyuklia.

Hawa wanyukane tu maana wote wababe na ni maswahiba wa Putin, hawakujifunza kilichomtokea Putin alipoanza kupora ardhi ya watu wa Ukraine.
===

India has reacted sharply to China's attempts to rename places in the north-eastern state of Arunachal Pradesh and said it "outright rejects" the move.
The state has been and will always be an "integral and inalienable part of India," foreign ministry spokesperson Arindam Bagchi said on Tuesday.

His comments came after reports said that China had renamed 11 places along a disputed Himalayan border region in the state.

Beijing has not yet commented.

China and India share a disputed 3,440km (2,100 mile) long de facto border - called the Line of Actual Control, or LAC - which is poorly demarcated. The presence of rivers, lakes and snowcaps means the line can shift.

China continues to stake claim on the whole of Arunachal Pradesh, calling it "South Tibet".
The soldiers on either side - representing two of the world's largest armies - come face to face at many points, the last time being in December when Indian and Chinese troops clashed along the border in the town of Tawang.

The latest tensions began after the Chinese Ministry of Civil Affairs on April 1 announced that it had "standardised some geographical names in southern Tibet"


This is also not the first time that Beijing has renamed places in the state, triggering angry reactions from India.
Xi Jinping ana tabia za kilafi na tamaa kama rafiki yake Putin
 
Back
Top Bottom