India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

Mkuu mie hua napenda sana hao jamii ya wanyonyaji watandikane wapigwe na corona sisi tuendelee na mambo yetu wametunyonya sana wacha watandikane!ila india nae mtatamatata kama magari yake TATA india & pakstan hawakai muda wanadundana tu kugombea mipaka sasa anamtaka na mchina
 
Sasa Angola ndio unaifananisha na China au India ...wewe jamaa sijui umekula maharage ya wapi ?
Utakuwa mgumu kuelewa. Mpaka kufikia kwenye mfano huo ipo chanzo kule juu. Na mfano huo ni kufuatana na muuliza swali linahusiana na hilo jibu hapo juu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Hawa walipigana Vita vikubwa Sana mwaka 1962 na India alipata kipigo Cha mbwa mwizi!!
Hata huu mkwaruzano wa juzi, mnyukano ulikuwa ni wa mikono mikavu mikavu!! Hakuna hata risasi moja iliyopigwa! Pande zote zilionesha nidhamu ya Hali ya juu hivyo kuepusha kulipuka kwa Vita! Maana risasi hujibiwa kwa risasi. Mmoja tu angefanya kosa la kutupia risasi au bomu ssa hii tungekuwa tunaongea mengine.
Sasa wachina wako vizuri Sana kwa mikono na mateke!! Wahindi walichezea kichapo na askari watatu wakafa pale pale! Baadaye majeruhi 17 wakafa pia na kufanya idadi ya vifo kuwa 20!
Upande wa China haukupata vifo vya hapo hapo ila majeruhi kadhaa ambao idadi yao haikuwekwa wazi. Hsijajulikana bado Kama baadaye vifo vilitokea, si unajua wachina ni waziri Sana!
 
Wahindi nao ni kama ndugu zetu wapare, kila mara wao tu ndio wana migogo ya mipaka na majira zao, mara agombane na Pakistani, leo china kesho sijui Nepal, kesho kutwa Bangladeshi.
Wale jamaa hawajawahi kuelewana na mtu
 
India anamilika Nuclear, hii ni tosha kwamba ni tishio mkuu achana na kotu nuclear, pia India ana moja ya silaha bora kabisa Duniani, google BLAH AMOS kama sijakosea speliing, hii ni project ya Urusi na India
India yuko vizuri lkn sio wa Level za China.

India level yake ni Pakistani.

Ila kama vipi wazichape tu,watu wa kizazi hiki wapate hata cha kuhadithia khs mziki wa ma nukes endapo wata survive.
 
We mtu anakula Tandu ,utampigaje sasa? Singa singa atulie tu.
 
Ngumi wanajeshi 3 wamekufa hapo hapo?! Baadae majeruhi 17?πŸ˜₯πŸ˜₯ Hawa wahindi sasa ahaa!
 

Vita vya wababe kama wale lazima vitatuathiri tena pakubwa, usitamani wala hata dakika moja, wakifikia kiwango cha kutupiana madubwasha yote kama nyuklia, ukae mkao wa kuathirika katika kila namna maana lazima mataifa mengne yataingilia na kila mmoja kuchukua upande, Mrusi anaweza akawa upande wa Mchina naye Marekani akingie Mhindi, hapo sasa dunia itaanza kuvurugika na yatatukuta huku, kama jinsi tulimcheka Mchina kwa corona ila leo huku ni mwendo wa mabarakoa, yametukuta yalioanzia huko kwao.
 
Wao wameconfirm vifo vyao ila nao wanadai wameua wanajeshi wa china 43 japo china hajaconfirm maana hata hivyo china uwa haconfirm habari kama hizi
hata hao india pia sio wakuwaamini kwa sababu,kama hiyo habari imetoka kwao ni lazima watakuwa wameipika ili wapate kuwa brainwash wananchi wao..hivi unadhani wanaweza kuwaambia wananchi wao kuwa wamepigwa au wameua idadi ndogo ya wachina! ?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒkwamba waka create propaganda kwa wananchi wananchi wao wa andamane ili wapate upenyo wa kukimbia?
 
tuwaombee amani ndio nikweli maana choko choko zao zinaweza sababisha vita ya 3 ya dunia

ila wengi tume take side ya china badala india kwa sababu tunajua kuwa ana nguvu kubwa ya kiuchumi kisiasa kiushawishi ki-technology na kijeshi kuliko india ijapokuwa india nae hayupo mbali katika hizo sifa nilizo zioanisha hapo. .kubwa zaidi Chinese anaonyesha kuwa kwa sasa yeye ndiye adui namba moja wa USA na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumchezeae sharubu yaani USA kwa china amekuwa kama simba wa kuchora kitu ambacho kinaifanya china izidi kujipatia mashabiki wengi duniani kwa sababu USA ina maadui wengi wanaoichukia ambao wapo macho kila kukicha wakitaka kushuhudia empire ya USA inaanguka
 
Sasa hivi India ina shift kwenda upande wa Marekani zaidi kwenye Mikataba ya Silaha na Nuclear technology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…