India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

Em nione chanzo cha habari hio, ata screenshort tu mm nitaingia deep kwenda kusoma, maana tokea jana naitafuta habari hio dkuiona
Ingia kwenye chombo chochote cha habari cha India wameandika hii japo unlike China, India wameconfirm vifo ila China hawajaconfirm namba ya vifo wala majeruhi yoyote japo hili ni kawaida kwao. So siyo habari ambazo unaweza thibitisha ila ndizo claim za India hizi kuwa wameua wanajeshi 43 wa China.
20 Indian Soldiers Killed; 43 Chinese Casualties: ANI
India-China dispute: 43 Chinese soldiers killed? Media outlets and journalists mislead - Alt News
At Least 20 Indian, 43 Chinese Troops Killed in Violent Ladakh Clash: Reports
India China news live: At least 20 Indian Army personnel killed in violent face-off in Ladakh's Galwan Valley
 
Media outlets and journalists mislead

India ni kati ya nchi yenye jeshi linaloheshimika na intelligence ya hali ya juu, usiwa underestimate.
Sasa mbona wanauliwa sana wao tu. Jana pia wamekufa wengine 20. Wawe wapole wasijipime ubavu na jeshi la china.
 
Sasa mbona wanauliwa sana wao tu. Jana pia wamekufa wengine 20. Wawe wapole wasijipime ubavu na jeshi la china.
Wao wameconfirm vifo vyao ila nao wanadai wameua wanajeshi wa china 43 japo china hajaconfirm maana hata hivyo china uwa haconfirm habari kama hizi
 
China wanapenda sana kugombania ardhi, ana mgogoro wa ardhi na nchi karibu zote za eneo hilo ikiwemo Japan, Philippines, Vietnam, Nepal, Bhutan, Indonesia na India.

Kuongezeka kwa nguvu zake za kijeshi katika miaka ya karibuni inaonekana kuchangia hali hiyo.
 
Hii sio kweli, vita vya Afrika vinasababishwa zaidi na tawala za kidikteta zilizokithiri hadi leo ktk mataifa kadhàa ya kiafrika. That's all.

Hii tabia ya kila siku kuwasingizia watu wa nje kwa madhaifu yetu ndio chanzo cha bara hili kuendelea kuwa maskini pamoja na rasilimali lukuki ilizonazo.
Hao unaowaita madikteita bila kupewa sapoti nahao mnaowaona wema wangekaa hapo walipo ?!

Kagame anapewa kiasi gan kama msaada wapesa kutoka ULAYA na US halaf wanamuandika vibaya kama dikteita wakat huo huo wanammiminia mamisaada yahali namali kwamaslahi yao

Silaha wanauziwa nanani kama sio hao mnaotaka wasilaumiwe ?!

Waache kuwapa wanaowaita madikteita misaada yafedha nasilaha uone kama kunamtu atakaa awalaumu...

Waache kutufanya wajinga.
 
Unahisi India kuwa ranked kuwa na military capabilities za juu ilikuwa bahati mbaya? Au walioirank ni mandezi?
Ndugu yao akina Pimbi .... Kenya yenyewe ina rank kubwa kwa ukanda huu ila anachezea kichapo na wavaa makobazi
 
Ndugu yao akina Pimbi .... Kenya yenyewe ina rank kubwa kwa ukanda huu ila anachezea kichapo na wavaa makobazi
Hata marekan na uwezo wake ilikuwa inapigwa na taliban, maana wanajichanganya na raia. Marekani na uwezo wake ilisumbuliwa na Vietnam mpaka wakaomba poo, walipoona wamezidiwa wakaanzisha movement watu waandamane nyumbani kupinga vita ili wapate sababu ya kuondoa jeshi lao.
Siyo rahisi kupigana na jeshi lenye watu ambao they have nothing to lose
 
Back
Top Bottom