India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

India naee mara kakianzisha na Mpakistan unasikia wanajesh wake kadhaa wamededishwaaa
mara kakianzisha na kina Mchina ndo kama hivyoo unasikia wadosi watatu chaliiii.....
bora waufyateee tuuu
Watakua wameshiba biryani hao[emoji4][emoji4]
 
Kila kitu na kipi?. U.S.A akimtaka mtu ampige kwa njia yoyote anampatia. Hasa palipo na maslahi yake au maslahi yake yakiguswa. Mfano ni kama Angola kabla ya kukaa sawa kulikuwa na vikundi viwili vinapigana,kimoja kikiweka masikani yake DRC,kingine kikiwa msituni Angola,vikundi vyote vikipigigania kuiongoza Angola. Unajua kitu gani kilikuwepo? Vikundi vyote vilikuwa vinafadhiriwa na mtu mmoja,U.S.A. kupiganisha huko ili anyakue mafuta na madini kirahisi. Rejea vita vinavyoendelea kila uchwao hapo DRC. Hapo yapo maslahi ya U.S.A

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Story za kwenye vijiwe. Unajua kuwa leo hii mchimbaji mkubwa wa mafuta ya Angola ni Marekani mbona hawakumnyima kisa aliwapiganisha..!!

Vita vya kienyeji nchini Congo DR havina mahusiano yoyote na Marekani, wapiganaji wenyewe ni wachovu tu waliogeuza hivyo vita kama njia ya kujikimu kimaisha.
 
He
Kapigana na nchi gani ya maana zaidi ya Pakistan na masikini wengine wanaomzunguka? Yani hao ndo kama ndugu zetu Kenya kwenye statistics za jeshi utawaogopa ila ukija uwanjani wanachakazwa hadi na wale wavaa makobazi wa somalia
Hebu nitajie vita China amewahi pigana
 
lakini kumbuka Polo ya kutuliza vuguvugu la hyderabad lilikuwa supported na pakistan
Operation Cactus pia
India wapo vizuri sana kijeshi pia ni moja ya nchi yenye jeshi kubwa (wanajeshi wengi) ila China ina nguvu sana kwenye hilo eneo.
 
Siyo marekani ni Russia
Story za kwenye vijiwe. Unajua kuwa leo hii mchimbaji mkubwa wa mafuta ya Angola ni Marekani mbona hawakumnyima kisa aliwapiganisha..!!

Vita vya kienyeji nchini Congo DR havina mahusiano yoyote na Marekani, wapiganaji wenyewe ni wachovu tu waliogeuza hivyo vita kama njia ya kujikimu kimaisha.
 
Kuna jamaa yangu (Nadiuth Mort) yuko huko huko kwenye safu za mlima Himalaya, leo katupia hizi pics
IMG_20200616_220522.jpg
 
Back
Top Bottom