India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

Usimdharau India. Yupo vizuri.
Wewe unadhani kwanini China atamzidi India?

India yuko vizuri lkn sio wa Level za China.

India level yake ni Pakistani.

Ila kama vipi wazichape tu,watu wa kizazi hiki wapate hata cha kuhadithia khs mziki wa ma nukes endapo wata survive.
 
India yuko vizuri lkn sio wa Level za China.

India level yake ni Pakistani.

Ila kama vipi wazichape tu,watu wa kizazi hiki wapate hata cha kuhadithia khs mziki wa ma nukes endapo wata survive.
Okay, wakiingia kupigana ile yenyewe naamini China atashinda. Lakini pia simdharau India. Hawa wote wana Nukes. Kama watazitumia yawezekana asipatikane mshindi.

Pia India anaweza kushindwa tuu ikiwa mkono wa US hautahusika. Na ni percent chache sana US asihusike.

Kwa mtazamo wangu.
 
Okay, wakiingia kupigana ile yenyewe naamini China atashinda. Lakini pia simdharau India. Hawa wote wana Nukes.

Pia India anaweza kushindwa tuu ikiwa mkono wa US hautahusika. Na ni percent chache sana US asihusike.

Kwa mtazamo wangu.

Na kwa Pale India ni kipenzi cha Russia(na ananunua Silaha zao kwa Sana) wkt Pakistani ni kipenzi cha China kwa sana tu.

Kwa hio US kuingilia pale kumsaidia India wkt huo huo india ni kipenzi cha Russia naona kama kuna utata kidogo lkn yote yanawezekana mkuu(Geo-Politics).
 
Wakivurugana hapo atakayefaidika ni kati ya US au Russia.
Ila hizi issues, wengine wanauana wengine wana take advantage..
 
Story za kwenye vijiwe. Unajua kuwa leo hii mchimbaji mkubwa wa mafuta ya Angola ni Marekani mbona hawakumnyima kisa aliwapiganisha..!!

Vita vya kienyeji nchini Congo DR havina mahusiano yoyote na Marekani, wapiganaji wenyewe ni wachovu tu waliogeuza hivyo vita kama njia ya kujikimu kimaisha.
Hujui lolote. Makaburu S.A wamewanyanyasa sana waafrica huko nyuma,mbona sasa wako pamoja?. Iwe ndio marekani kuwapiganisha Angola hapo zamani wamnyime mkataba wa kuchimba mafuta now?. 2. Unafahamu waasi wa DRC wewe?. Fikiria siraha walizonazo huko msituni sio za kibwege ndio maana inashindikana pia kuwamaliza. Wewe unafikiri wanafadhiriwa na nani hizo siraha kama sio mataifa makubwa yenye maslahi ndani ya DRC?. 3. Hivi unafikiri waafrica hawana akili kabisa kiasi kwamba wanashindwa kuelewana mpaka kumaliza kabisa mapigano hayo yaliyodumu miongo kadhaa?. Hasha,ila kuna wenye maslahi hawataki vita hivyo viishe. Nina mengi ya kukueleza ila ngoja nitulie tuishie kujua juu kwa juu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
India kama muvi zake na masteling wao wako vile basi wanafaa kupigwa tu hamna kitu.
Nimecheka sana hapa nikivuta picha zile movies za kusini mwa India (tollywood)

Mtu anapigwa ngumi anapaa anaenda kuangukia gari gari nayo inaserereka inaenda kuwavaa watu kadhaa mbele huko kisha wote hao pamoja na gari nyang'anyang'a lakini aliyepiga hiyo ngumi yupo salama kabisa tena anakuna mustachi kwa mbali as if hakuna kinachoendelea
 
Mi natamani wapigane Na wajipige kweli kweli kwa maana nawachukià wote Na asipatikane mshindi
Mmh acha hizo!

Binafsi kila anayejiegemeza kwa dola za kikafiri (ulaya na marekani) huwa namwombea kushindwa tu kama ikitokea anafarakana na mwingine

Mtanisamehe waungwana lakini muvi ya jet li na san deo naomba san deo awe jambazi tu ili apigwe yeye
 
Weshapiganaga kipindi cha nyuma India walipigwa hadi aibu

Kwa kifupi Mchina ameshawagawia dozi majirani zake India, Vietnam wote hawa hawakufurukuta mbele ya mchina
Lakini kipindi hicho China peke yake ndie alikuwa na Nukes. India hakuwa nayo.
Hali sasa hivi ni tofauti. India anazo.
Lakini vipi 1967 India hakumtandika China?
 
Hujui lolote. Makaburu S.A wamewanyanyasa sana waafrica huko nyuma,mbona sasa wako pamoja?. Iwe ndio marekani kuwapiganisha Angola hapo zamani wamnyime mkataba wa kuchimba mafuta now?. 2. Unafahamu waasi wa DRC wewe?. Fikiria siraha walizonazo huko msituni sio za kibwege ndio maana inashindikana pia kuwamaliza. Wewe unafikiri wanafadhiriwa na nani hizo siraha kama sio mataifa makubwa yenye maslahi ndani ya DRC?. 3. Hivi unafikiri waafrica hawana akili kabisa kiasi kwamba wanashindwa kuelewana mpaka kumaliza kabisa mapigano hayo yaliyodumu miongo kadhaa?. Hasha,ila kuna wenye maslahi hawataki vita hivyo viishe. Nina mengi ya kukueleza ila ngoja nitulie tuishie kujua juu kwa juu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Hii sio kweli, vita vya Afrika vinasababishwa zaidi na tawala za kidikteta zilizokithiri hadi leo ktk mataifa kadhàa ya kiafrika. That's all.

Hii tabia ya kila siku kuwasingizia watu wa nje kwa madhaifu yetu ndio chanzo cha bara hili kuendelea kuwa maskini pamoja na rasilimali lukuki ilizonazo.
 
Back
Top Bottom