India wabadili jina la nchi yao

India wabadili jina la nchi yao

Kwanini mwinyi anamlaka kwa nchi yake huku majaliwa Hana?
Hiyo ndo inaitwa mbwa kala mbwa. Hii nchi ngumu sana. hata Mwinyi hana Mamlaka. Ni kama Mkuu wa Mkoa tu na hadhi yake ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kama Waziri maaluim wa Mkoa wa Zanzibar. Ndo maana ni mjumbe wa vikao vya baraza la mawaziri kama ilivyo kwa mawaziri wengine. Mwenyekiti wa vikao vya baraza la mawaziri ni Rais na ikiwa hayupo Majaliwa ndo anaongoza kikao yeye Mwinyi akiwa mjumbe kama wajumbe wengine. HII NCHI NGUMU SANA!!!
 
Back
Top Bottom