India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

Mleta uzi kaandika kisaniisanii sana.Wahindu hawataki maeneo yao yatumike kinyume na dini yao.Uelewe hilo.Hawakuwavamia bila sababu.
Jamii ni jumla ya mtu mmoja mmoja. Chuo ni Taasisi iliyomo sehemu ya jamii na kwa msingi huo imekusanya jamii ya mtu mmoja mmoja wenye tamaduni tofauti.

Hao vijana wamekosa eneo la kuswalia kufanya ibada zao. Kama hilo suala lingekuwa halifai uongozi wa Chuo upo ungetoa mwongozo. Lakini kilichofanyika ni jamii ya watu fulani kuwafanyia vurugu.

Tutarudi kule kule; India ni nchi ambayo bado haijastaarabika.
 
Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi la wanafunzi waliokuwa wanasali Sala ya Tarawehe katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Wanafunzi walioshambuliwa wamevieleza vyombo vya habari vya ndani kuwa kikundi kidogo kilikusanyika Jumamosi usiku ndani ya majengo ya dakhalia ya wavulana kwa ajili ya Sala ya Tarawehe kwa kuwa hakuna msikiti kwenye chuo kikuu kilichoko Ahmedabad. Muda mfupi baadaye, kundi la watu waliokuwa na fimbo na visu walivamia hosteli hiyo na kuwashambulia wanafunzi hao na kufanya uharibifu ndani ya vyumba vyao.

Mwanafunzi mmoja amesema: "kikundi cha wanafunzi 15 walikuwa wanasali wakati watu watatu walipowajia na kuanza kupiga makelele ya 'Jai Shri Ram' yaani [Salamu bwana Ram]. Walituzuia tusisali hapa”.
Mwanafunzi mmoja kutoka Afrika amesema: "hatuwezi kuishi hivi, tulikuja India kusoma na sasa tunashambuliwa kwa sababu ni wakati wa Ramadhani na kwa sababu Waislamu wanasali".

Tovuti ya habari ya Indian Express imeripoti kuwa wanafunzi wawili walijeruhiwa vibaya na wanaendelea kupata matibabu hospitalini baada ya wanafunzi kutoka Afghanistan, Uzbekistan, Sri Lanka, Bangladesh na nchi kadhaa za Afrika kushambuliwa.

Makundi ya Wahindu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali na chuki za kidini yamekuwa yakiendesha kampeni za hujuma na mashambulio katika maeneo ya umma dhidi ya Waislamu wanaosali.

Mapema mwezi huu, askari polisi mmoja katika mji mkuu New Delhi alisimamishwa kazi baada ya kuwapiga mateke wanaume Waislamu waliokuwa wakisali kando ya barabara.
Watu hawataki, mnawalazimisha wa nini? Nenda nchi inayokubali imani yako
 
Mkiambiwa ukristo ni mzuri na bora muwe mnaelewa. Ukristo haufundishi chuki, kuwashambulia wengine, kule ni upendo tu, hutasikia wakristo wameshambulia watu wa dini nyingine. Ila hawa waislam na wahindu ni chuki kwa kwenda mbele. Wameshambuliwa na wahindu? Wamekutana wapuuzi watupu wacha washambuliane maana hata waislam wana tabia hizo
 
Jamii ni jumla ya mtu mmoja mmoja. Chuo ni Taasisi iliyomo sehemu ya jamii na kwa msingi huo imekusanya jamii ya mtu mmoja mmoja wenye tamaduni tofauti.

Hao vijana wamekosa eneo la kuswalia kufanya ibada zao. Kama hilo suala lingekuwa halifai uongozi wa Chuo upo ungetoa mwongozo. Lakini kilichofanyika ni jamii ya watu fulani kuwafanyia vurugu.

Tutarudi kule kule; India ni nchi ambayo bado haijastaarabika.
Hayo mengine wa kuulizwa ni wahindu wenyewe.Halafu,unajua kwamba wahindu na waislamu hawaivi pamoja huko India?Jibu ndiyo lipo hapo.
 
Na wao waislamu hao sio waelewa chuoni hakuna msikiti kwa nini walazimishe kuwemo msikiti? Hao waligeuza hicho chumba walichokuwa wakisalia kuwa msikiti kwa nguvu kuwa eneo la kuswalia waislamu iwe kwa muda mfupi au mrefu

Hao wanafunzi wa kiislamu hawakuwa sahihi.Wahindu walikuwa sahihi kuwavamia

Hawana akili hao wanafunzi
Wenye chuki zao wanaanza kujidhihirisha.


Hivi Mtu ukiwa chuoni unakatazwa kusali au kuswali room?
 
Waislam huwa sio waelewq, huwatesa sana Wakristo kwenye nchi zao, lkn wao wakiguswa ni vilio vitupu.

Watu waachwe waabudu wanachokiamini.

Hao wanafunzi wameonewa bure
Ww bwabwa hebu changia mada iliyoandikwa mada haiwahusu waislam lakini bila kutaja uislam hauoni raha ndio maana pope kawaambie muolewe na wanaume wenzenu
 
Waislam huwa sio waelewq, huwatesa sana Wakristo kwenye nchi zao, lkn wao wakiguswa ni vilio vitupu.

Watu waachwe waabudu wanachokiamini.

Hao wanafunzi wameonewa bure
Yaani hawa watu wanatesa sana watu wa Imani zingine lakini wao wakiguswa kidogo wanaanza kulialia kuwa Wanadhulumiwa

Yaani Waislam huwa wanaona kama watu wote duniani wanawadhulumu wao tu hasa Mohamed Said FaizaFoxy Mlolongo mjingamimi na darcity
 
Huyu jamaa naijua stori yake. Alikuwa sheikh, akawa anatokewa na Yesu mara kwa mara akiwa msikitini, akaamua kuokoka na kuwa mchungaji. Kwa sasa anahubiri vyote vyote, Qurani na Biblia 😁
Ana hubiti vyote Quran na Biblia!!.
Na kuna watu wanamuamini!.
 
Back
Top Bottom