Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mjasiriadini huyuHuyu jamaa naijua stori yake. Alikuwa sheikh, akawa anatokewa na Yesu mara kwa mara akiwa msikitini, akaamua kuokoka na kuwa mchungaji. Kwa sasa anahubiri vyote vyote, Qurani na Biblia 😁