India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

Huyu jamaa naijua stori yake. Alikuwa sheikh, akawa anatokewa na Yesu mara kwa mara akiwa msikitini, akaamua kuokoka na kuwa mchungaji. Kwa sasa anahubiri vyote vyote, Qurani na Biblia 😁
Mjasiriadini huyu
 
Yule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allah
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.

Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Duuuh aise watu mna mambo
 
Yule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allah
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.

Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Kwanza njoo kwa id yako ya kawaida , unajificha usijulikane ?
Wewe Itakuwa huo ndio mchezo wako , usingalijificha na kuzipa Aya ukafiri wako, by the way Yule Roho Mtakatifu wako ndiye anayekufundisha hiyo michezo na kukuongoza huko ?
 
Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi la wanafunzi waliokuwa wanasali Sala ya Tarawehe katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Wanafunzi walioshambuliwa wamevieleza vyombo vya habari vya ndani kuwa kikundi kidogo kilikusanyika Jumamosi usiku ndani ya majengo ya dakhalia ya wavulana kwa ajili ya Sala ya Tarawehe kwa kuwa hakuna msikiti kwenye chuo kikuu kilichoko Ahmedabad. Muda mfupi baadaye, kundi la watu waliokuwa na fimbo na visu walivamia hosteli hiyo na kuwashambulia wanafunzi hao na kufanya uharibifu ndani ya vyumba vyao.

Mwanafunzi mmoja amesema: "kikundi cha wanafunzi 15 walikuwa wanasali wakati watu watatu walipowajia na kuanza kupiga makelele ya 'Jai Shri Ram' yaani [Salamu bwana Ram]. Walituzuia tusisali hapa”.
Mwanafunzi mmoja kutoka Afrika amesema: "hatuwezi kuishi hivi, tulikuja India kusoma na sasa tunashambuliwa kwa sababu ni wakati wa Ramadhani na kwa sababu Waislamu wanasali".

Tovuti ya habari ya Indian Express imeripoti kuwa wanafunzi wawili walijeruhiwa vibaya na wanaendelea kupata matibabu hospitalini baada ya wanafunzi kutoka Afghanistan, Uzbekistan, Sri Lanka, Bangladesh na nchi kadhaa za Afrika kushambuliwa.

Makundi ya Wahindu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali na chuki za kidini yamekuwa yakiendesha kampeni za hujuma na mashambulio katika maeneo ya umma dhidi ya Waislamu wanaosali.

Mapema mwezi huu, askari polisi mmoja katika mji mkuu New Delhi alisimamishwa kazi baada ya kuwapiga mateke wanaume Waislamu waliokuwa wakisali kando ya barabara.
Hili taifa la hovyo sana.
Mwaka jana wameanza na operation ya kuua YEYOTE ANAYEKULA NYAMA YA NG'OMBE.
UKIONEKANA UNATAKA KUMCHINJA NG'OMBE KAZI UNAYO.
ETI WAKIDAI HUYO NI MNYAMA WA KIUNGU ANAPASWA HESHIMIWA.
 
Sema waislamu hawaaminiki kabisa wao kupanga mauwaji wakati wanasali sio kitu cha kushangaza..
 

Attachments

  • enamul___hoqe_1710172710956673.mp4
    1.2 MB
Na wao waislamu hao sio waelewa chuoni hakuna msikiti kwa nini walazimishe kuwemo msikiti? Hao waligeuza hicho chumba walichokuwa wakisalia kuwa msikiti kwa nguvu kuwa eneo la kuswalia waislamu iwe kwa muda mfupi au mrefu

Hao wanafunzi wa kiislamu hawakuwa sahihi.Wahindu walikuwa sahihi kuwavamia

Hawana akili hao wanafunzi
Kwanini hawakuenda kwa DEAN OF STUDENT?
JE HAPO CHUONI HAKUNA UONGOZI WA KUWASHITAKIA??
UNAONEKANA FALA AMBAYE HAJUI MAANA YA ADMINISTRATION
 
Yule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allah
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.

Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Hiyo ni suratul Israai ayah ya 81 inasema "hakika imekuja haki na imejitenga batwili".
Uislam haupendi ushoga na unakataza ushoga pia utofautishe dini inasemaje na matakwa ya mtu.
Huyo mpemba kafilwa kwa matakwa yake dini haijaruhusu.
AYAH ULOLETA MAANA YAKE HIYO HAPO.
Screenshot_2024-03-20-17-43-50-53_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
 
Yule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allah
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.

Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Embu soma kisa cha watu wa Sodoma walivyoangamizwa.
Hiyo ni Qur'an inaeleza kuwa ulawiti ni dhambi.
Watu wa Nabii.Lutwi walivyoangamizwa kwa kupenda ushoga na uasherati
Screenshot_2024-03-20-17-50-52-35_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
Screenshot_2024-03-20-17-50-57-66_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
Screenshot_2024-03-20-17-51-03-17_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
Screenshot_2024-03-20-17-51-12-39_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
 
Mfano hai huo wapo kwenye video ya maandamano ya pemba
Hao wameandamana au wamefanya insurgence??
Wahindu wanafanya insurgence.
Zanzibar toka miaka ya nyuma na Pemba ilizoeleka na kujijenga kuwa ni visiwa vyenye tamaduni za kiarabu na kiislam.
Ukiishi tofauti na wao lazima wang'ake kuwa unawaulia tamaduni zao.
Ila uliskia mtu Zanzibar kapigwa ama kuchomwa visu kisa anaenda kinyume na tamaduni za kule??
Kilichofanyika hapo ni sawa kinachofanyika ULAYA KWA MAANDAMANO YA LGBTQ KUWA WAPEWE HAKI ZAO NA ANAEWAPINGA AMEPINGANA NA TAMADUNI ZAO.
 
Jamii ni jumla ya mtu mmoja mmoja. Chuo ni Taasisi iliyomo sehemu ya jamii na kwa msingi huo imekusanya jamii ya mtu mmoja mmoja wenye tamaduni tofauti.

Hao vijana wamekosa eneo la kuswalia kufanya ibada zao. Kama hilo suala lingekuwa halifai uongozi wa Chuo upo ungetoa mwongozo. Lakini kilichofanyika ni jamii ya watu fulani kuwafanyia vurugu.

Tutarudi kule kule; India ni nchi ambayo bado haijastaarabika.
Kuongezea hilo kaka dini ya kihindu ni dini inayomchukulia mwanamke kiumbe dhalili na mtumwa.
Ndio maana India kulingana na imani hiyo ni TAIFA LINALOONGOZA DUNIANI KWA GENDER OPRESSION AND DISCRIMINATION.
Pia kwa imani hii India ni taifa linaloongoza kwa ubakaji wa wanawake duniani.
Kiufupi India haijastaarabika.
 
Mleta uzi kaandika kisaniisanii sana.Wahindu hawataki maeneo yao yatumike kinyume na dini yao.Uelewe hilo.Hawakuwavamia bila sababu.
Hawa hawajastaarabika.
Hadi nyama ya ng'ombe nayo ni ya kuzuia watu kula!!????
Yani unamuua binadamu mwenzako kisa amechinja ng'ombe!!?
Kisa wewe unaabudu ng'ombe!??
Screenshot_2024-03-20-18-07-05-59_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Kwanini hawakuenda kwa DEAN OF STUDENT?
JE HAPO CHUONI HAKUNA UONGOZI WA KUWASHITAKIA??
UNAONEKANA FALA AMBAYE HAJUI MAANA YA ADMINISTRATION
Kwani Kazi ya Dean of Students kazi yake mojawapo ni kuanzisha msikiti au kanisa eneo la chuo kwenye kazi zake anazopangiwa as a Dean of Students eneo la chuo? Ndio nasikia kwako.
 
Kwani Kazi ya Dean of Students kazi yake mojawapo ni kuanzisha msikiti au kanisa kwenye kazi zake anazooangiwa as a Dean of Students eneo la chuo? Ndio nasikia kwako.
Hujaelewa kabisa nilichozungumza.
Dean kazi yake ni kuwatizama wanafunzi kwa minajili yote ya mahitaji yao.
Kama kuna sheria imepindishwa wa kwanza kujulishwa ni dean of students.
KAMA HAO WAISLAM WALIANZISHA IBADA AMBAYO NI KINYUME NA SHERIA ZA SHULE,hao wanafunzi wangeenda kwa uongozi wa chuo ikiwemo dean ili waripoti hilo tukio ila sio kujichukulia sheria mkononi.
Au chuo ulichosoma ilikua sheria mnajichukulia mkononi sio kwenda katika uongozi wa chuo??
Je walienda katika utawala wa chuo na kuripoti malalamiko ya hao wanafunzi waislam??
 
Hujaelewa kabisa nilichozungumza.
Dean kazi yake ni kuwatizama wanafunzi kwa minajili yote ya mahitaji yao.
Kama kuna sheria imepindishwa wa kwanza kujulishwa ni dean of students.
KAMA HAO WAISLAM WALIANZISHA IBADA AMBAYO NI KINYUME NA SHERIA ZA SHULE,hao wanafunzi wangeenda kwa uongozi wa chuo ikiwemo dean ili waripoti hilo tukio ila sio kujichukulia sheria mkononi.
Au chuo ulichosoma ilikua sheria mnajichukulia mkononi sio kwenda katika uongozi wa chuo??
Ok
 
Uhuru wa kuabudu ni jambo muhimu sana, kila mmoja aachiwe aabudu mambo yake, nafikiri hadi hapo mumeona jinsi wengine hupata kero mnapowazuia kuabudu mambo yao, Wakristo huteswa sana kwenye nchi za Kiislamu, mkuki kwa nguruwe.

Tuheshimiane kwenye imani zetu maana wewe hapo huna uwezo wa kunidhihirishia uwepo wa unayemuabudu hivyo usilazimishe wengine.

Watu wazima wanaandamana kupinga ujenzi wa kanisa.

[URL? unfurl="true" media="youtube😛cwvILodCKM"]
View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM[/URL]

Mbona kawaida
 
Ndugu, umeisoma taarifa?
Uzi umeelezea kuwa Chuoni hapo hakuna msikiti. Sasa inakuwaje unauliza swali ambalo jawabu lake lilishawekwa?
Ndugu, umeisoma tena taarifa? Wapi maudhui yamesema wamelazimisha hicho chumba kuwa msikiti kwa nguvu?
Narendra Modi hufahamu kuwa chama Chao cha Bharatiya Janata ni chama cha wahafidhina chenye msimamo mkali wa kihindu?

Angalia uongozi wa Modi na PM aliyepita kabla yake mbona hizo jamii ziliishi vizuri misuguano haikuwepo kama Modi na chama Chao kiliposhika madaraka?

Inakubidi ufahamu siasa ya India inavyokwenda ndugu mtanzania.
Ivi humu JF hakuna wahindi tuwasikie? Mimi naheshimu tamaduni za watu, anayemjua mhindi wa humu amtag ili aje atiririke
 
Back
Top Bottom