Halafu wewe jamaa una utindi wa ubongo.Mfano hai huo wapo kwenye video ya maandamano ya pemba
Labda itangazwe kuwa Pemba au Zanzibar yote ni ardhi ya Kiislamu. Lakini ikumbukwe kuna mahoteli ya kitalii ufukweni Pemba ambayo kiitikadi ya Kiislamu ni bora hata Kanisa..!Uhuru wa kuabudu ni jambo muhimu sana, kila mmoja aachiwe aabudu mambo yake, nafikiri hadi hapo mumeona jinsi wengine hupata kero mnapowazuia kuabudu mambo yao, Wakristo huteswa sana kwenye nchi za Kiislamu, mkuki kwa nguruwe.
Tuheshimiane kwenye imani zetu maana wewe hapo huna uwezo wa kunidhihirishia uwepo wa unayemuabudu hivyo usilazimishe wengine.
Watu wazima wanaandamana kupinga ujenzi wa kanisa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM
Kama mnayajua hayo kwanini huwa mnawaonyoshea kidole watu ambao siyo dini yenu na kuwaona wana dhambi sana?Ndio maana Pakawa na masheikh waliojitolea kuwapa mawaidha waislam wenzio. Roho ni roho inapenda kufanya mabaya. Mawaidha ya kuwambusha ubaya wanaofanya na athari
Yani hii dunia inashangaza sana aisee.na wa hindu wanapinga kuharibiwa tamaduni zao huoni wote wapo sawa ni kama China tu serekali ilianza kuwafyeka waislam kwa sababu wanaharibu tamaduni zao
nimetuma point yako
Wasikuwa waislam moja kwa moja kwa mujibu wa uislam wamepotea.Kama mnayajua hayo kwanini huwa mnawaonyoshea kidole watu ambao siyo dini yenu na kuwaona wana dhambi sana?
Nyie ambao hamjapotea. Kwanini 98% mnatumia vitu / bidhaa za waliopotea? Nyie hamjavumbua chochoteWasikuwa waislam moja kwa moja kwa mujibu wa uislam wamepotea.
Wasikuwa waislam moja kwa moja kwa mujibu wa uislam wamepotea.
😂😂😂😂😂😂😂😂AiseeNyie ambao hamjapotea. Kwanini 98% mnatumia vitu / bidhaa za waliopotea? Nyie hamjavumbua chochote
Mfano mdogo. Haupo mtandao wa kiislamu hata coding (computer language) wamevumbua waliopotea.
1. Jamii forum
2. Pinterest
3. Facebook
4. X
5. Telegram
6. WhatsApp
1. Ingekuwa hivyo dini ya kiislamu ingekuwa ni dini yenye waumini wengi duniani.
2. Nchi za kiislamu zenye kufuata sharia zingekuwa ndiyo mfano wa kuigwa na watu wengi wangekuwa huko bila kujali rangi na wanaishi huko.
3. Kwenye dini kiislamu kusingekuwa na mahakama ya kadhi maana wote wangekuwa wema
4. Kusingekuwa na mahakama yoyote kwenye nchi za kiislamu, hata ungedondosha hela ungeikuta wamekuhifadhia.
Ni sawa sawa kabisa na mavijana ya hovyo ya kisiwa Fulani ambao hutembea na magimbo kuwapiga watu wanaokula hadharani kipindi Cha mfungo bila kujali Imani Yao ni ipiHili taifa la hovyo sana.
Mwaka jana wameanza na operation ya kuua YEYOTE ANAYEKULA NYAMA YA NG'OMBE.
UKIONEKANA UNATAKA KUMCHINJA NG'OMBE KAZI UNAYO.
ETI WAKIDAI HUYO NI MNYAMA WA KIUNGU ANAPASWA HESHIMIWA.
Makanisa yalianza kwanza Zanzibar , kabla huko Tanganyika, na hawa wakristo wa Zanzibar ambao wengi ni magoa kutoka India wanaheshimu tamaduni za kiislamu na kuheshimu sheria za kiislamu na hawajapatapo tokea miaka hiyo huko nyuma kula mchana mbele za Waislamu hapa Zanzibar wakati wa Ramadhani .. Tatizo ni hii miafrika koko kutoka West Afrika iliyokuja kuvamia East Afrika , ndio inayopenda ugomvi na kuudhi watu na imekosa heshima zote na haina dini ndio inayotuletea matatizo na kuleta vijikanisa vya mashogaNi sawa sawa kabisa na mavijana ya hovyo ya kisiwa Fulani ambao hutembea na magimbo kuwapiga watu wanaokula hadharani kipindi Cha mfungo bila kujali Imani Yao ni ipi
Nenda Nchi ya kiarabu. Uonekane umevaa msalaba au umebeba biblia au unafundisha mafundisho ya Kikristu adhabu yake ni KIFO. Mbona hilo hulisemi? Au hulijui?Daaah.... Hawa Wahindi katika Uislamu wameona hilo tu ndo la maana kuiga? Kushambulia imani za wenzao? Kuwaona wenzao ni Makafir? Hii dunia malipo ni hapa hapa.
Najua. Na kwa nini uende huko kupeleka imani yako ya masuala yenu sijui ya upendo sijui nini? Kule kazi kazi tu hakuna kuremba.Nenda Nchi ya kiarabu. Uonekane umevaa msalaba au umebeba biblia au unafundisha mafundisho ya Kikristu adhabu yake ni KIFO. Mbona hilo hulisemi? Au hulijui?
Nchi ya kiarabu ipi unayoongelea ?? Mbona wakristo waarabu wamejaa ?? Hata jiografia mnasoma nyinyi ??Nenda Nchi ya kiarabu. Uonekane umevaa msalaba au umebeba biblia au unafundisha mafundisho ya Kikristu adhabu yake ni KIFO. Mbona hilo hulisemi? Au hulijui?
Sio tatizo. Kwa Allah siku ya sikuWamepotea ila mnatumia dawa zao, mnasoma elimu yao, Mnatumia internet zao. Etc
Uarabuni wahindi wanaruhusiwa kujenga mahekalu Yao na wakristu wanaruhusiwa kujenga makanisa? Nani mbaguzi na nani sii mbaguzi?Wahindu wanachuki sana na waislamu. India waislamu wanabaguliwa mno
Nenda Nchi ya kiarabu. Uonekane umevaa msalaba au umebeba biblia au unafundisha mafundisho ya Kikristu adhabu yake ni KIFO. Mbona hilo hulisemi? Au hulijui?
🔹 Kuandika herufi kubwa au ku bold ni ishara ya kupayuka au pumbaKauli yako haithibitishi unachoongea.
Kumlazimisha mtu afate mila zako ni kumshinikiza azitende.
Je hao wakiristo walilazimishwa kusilimu na kuwa waislamu??
Mbona mataifa ya kizungu walisha develop islamaphobia kitambo na kuwatesa waislam je hao wana tofauti gani na waislam wa Pemba!?
Hao mapadre kumwagiwa tindikali ni political motivated,je unajua kuna masheikh na waislam wakawaida wangapi waliuawa na kumwagiwa tindikali pia!?
AU unadhani sijui hayo maandamano na umwagianaji wa tindikali ulitokea awamu gani kama sio kipindi cha Mkapa kuingia cha Kikwete??
Je masheikh wa uamsho walifanya kosa gani??
Usituchanganyie mada hapa.
Kama jinsi mataifa ya Ulaya yanavyopiga vita tamaduni za kiislam basi ni sawa na hao wazenji walivyogomea ujenzi wa kanisa.
YANI ULIMWENGUNI WAKRISTU KU DEVELOP ISLAMAPHOBIA IWE SAWA ILA MUILAM AKIFANYA NI UGAIDI NA PLAYING VICTIM!!
KAWADANGANYE MATUTUSA SIO SISI TUNAOJIELEWA.
KWANI HUYO YESU NA PAULO WAKE WALIVUMBUA KITU GANI ?? Si haba makanisa mengi yamevumbua kuoana jinsia moja na pia kuoana na wanyamaNyie ambao hamjapotea. Kwanini 98% mnatumia vitu / bidhaa za waliopotea? Nyie hamjavumbua chochote
Mfano mdogo. Haupo mtandao wa kiislamu hata coding (computer language) wamevumbua waliopotea.
1. Jamii forum
2. Pinterest
3. Facebook
4. X
5. Telegram
6. WhatsApp