India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

Maandishi yako tuu yanaonyesha ujinga uliyokariri kwenye kichwa chako. Sio wote wenye vipara wamejaza kichwani material ya maana wengine wamejaza mautopolo kichwani
Unaandika mihemko na mipasho.
Huna hoja hata moja uliotoa hadi sasa.
Sema nakuvumilia maana huwezi mkasirikia mjinga.
Endeleza majadiliano na wengine wacha nikublock.
 
Ndugu, umeisoma taarifa?
Uzi umeelezea kuwa Chuoni hapo hakuna msikiti. Sasa inakuwaje unauliza swali ambalo jawabu lake lilishawekwa?
Ndugu, umeisoma tena taarifa? Wapi maudhui yamesema wamelazimisha hicho chumba kuwa msikiti kwa nguvu?
Narendra Modi hufahamu kuwa chama Chao cha Bharatiya Janata ni chama cha wahafidhina chenye msimamo mkali wa kihindu?

Angalia uongozi wa Modi na PM aliyepita kabla yake mbona hizo jamii ziliishi vizuri misuguano haikuwepo kama Modi na chama Chao kiliposhika madaraka?

Inakubidi ufahamu siasa ya India inavyokwenda ndugu mtanzania.
Modi hata sehemu alikotoka amepaneemesha sana na kuongeza kila kitu katika bajeti zote
Huyu aliingia pamoja na Rais wetu aliepita
Angalia anacyoipendelea Gujarat mpaka wahindi wengine wanamchukia ameleta udini sana na ukabila
Ingawa alizaliwa kwenye umasikini ila watu hubadilika
 
Uarabuni wahindi wanaruhusiwa kujenga mahekalu Yao na wakristu wanaruhusiwa kujenga makanisa? Nani mbaguzi na nani sii mbaguzi?

unachotakiwa kutofautisha ni kuwa Uarabuni wahindu na wageni, India Wasilamu ni wazawa. Unambaguaje raia wako sababu tu ya dini yake? Hata ajira waislamu kupata ni shida sana
 
unachotakiwa kutofautisha ni kuwa Uarabuni wahindu na wageni, India Wasilamu ni wazawa. Unambaguaje raia wako sababu tu ya dini yake? Hata ajira waislamu kupata ni shida sana
Kwa hiyo dini yenu inampa haki mzawa kumbagua Mgeni asiye dini yake kwa kumuwekea vikwazo asiabudu kwa mujibu wa dini yake na asiwe huru kueneza dini yake, na wakati huo huo inawapa ninyi haki zote za kuabudu na kueneza dini yenu ugenini?

IF YOU NEED EQUITY DO EQUITY
 
Kwa hiyo dini yenu inampa haki mzawa kumbagua Mgeni asiye dini yake kwa kumuwekea vikwazo asiabudu kwa mujibu wa dini yake na asiwe huru kueneza dini yake, na wakati huo huo inawapa ninyi haki zote za kuabudu na kueneza dini yenu ugenini?

IF YOU NEED EQUITY DO EQUITY

Hilo ni suala la dini? kwani ni waislamu pekee wanaokataa dini z kigeni kwenye miji yao? TZ ingelikuwa 99.9% Wagalatia, je mungeridhia wahamiaji wakigeni waislamu wajijengee tu nyumba zao za ibada kiholela?
 
Hilo ni suala la dini? kwani ni waislamu pekee wanaokataa dini z kigeni kwenye miji yao? TZ ingelikuwa 99.9% Wagalatia, je mungeridhia wahamiaji wakigeni waislamu wajijengee tu nyumba zao za ibada kiholela?
Wewe naona unahitilafu kwenye UBONGO. Kujenga nyumba za ibada kiholela kukoje?
 
HADITHI YA AL BUDANOVA

ROHO MTAKATIFU WAKO KAISHIWA ; KABAKI KUKUONGOZA KWENYE MATUSI TU WAKATI WOTE

Quran hadithi 16245

🤣🤣🤣🤣🤣🤣😝😝😝😝😝😝
1000028023.jpg
 
Na allah alikuahidi kweli utatafuna bikra 72 bila kuchoka na kunywa pombe isiyo chungu 🤣
Roho Mtakatifu wako anajua kukuongoza kwenye hadithi hiyo iliyoandikwa na kanisa lako hana jingine
 
yaani mud mfuate yesu ndio uzima wako wa milele huyo mtume wenu anakupeleka jahanam

Msikilize Yesu mwenyewe anavyokuambia

Yeye hakupewa ujumbe wa utume kwa ajili ya watu wote wa kabila zote.

Bali yeye alikuwa Mtume kwa ajili ya wana wa Israeli tu.

Mwenyewe alijua mipaka ya utume wake. Kwahiyo alisema:

1. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:24).

2. Wakati mwanamke mmoja asiyekuwa mwana wa Israeli alipokuja kwa Yesu Kristo kuomba baraka zake, Yesu akakataa na zaidi ya kukataa aliwatusi wasiokuwa Waisraeli.

“Akasema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia m’mbwa.” (Mathayo 15:26, Marko 7:27).

3. Hao thenashara (kumi na mbili) Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende,
wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 10:5-6).

4. Baadhi ya Wakristo wanadhani kwamba wakati Waisraeli wote wamefikishiwa ujumbe, kisha makabila mengine pia yahubiriwe.

Lakini dhana hii si sahihi bali ni kinyume cha mafundisho ya Bwana Yesu. Yeye amesema kwamba: “Lakini watakapo wafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawambia, hamtaimaliza miji ya Israeli hata ajapo
mwana wa Adamu. (Mathayo 10:23).

5. Bwana Petro mwanafunzi wa Yesu Kristo aliwahubiri wasiokuwa Waisraeli. Wanafunzi wengine, baada ya
kupata habari hii walimpinga Bwana Petro kwa kosa lake. Biblia inasema kwamba: “Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Uyahudi wakapata habari ya kwamba watu wa mataifa nao wamelipokea neno la Mungu. Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale walio wa tohara wakashindana naye, wakisema, uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao. “ (Matendo 11:1-3).

6. Aya za Biblia zifuatazo zinaeleza kwamba Bwana Yesu alikuwa mfalme na mtawala wa Mayahudi. (Mathayo 2:6, 27:29, 27:42, Yohana 1:49.
 
Back
Top Bottom