FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #21
Nao wamejibu!Pakistan
Yule Mama wa Pepsi pia ni Mhindi MmarekaniIndia kwa sasa wako vizuri sana kwa masuala ya teknolojia,Hata C.E.O wa GOOGLE bwana.SUNDAR PICHAI ni muhindi.
Kumbe! Wahindi wako vzr aiseeYule Mama wa Pepsi pia ni Mhindi Mmarekani
Tena uraia wake ni wa nchi mbili (India na Marekani)Huyo ni Mhindi pure, ila ana uraia wa Marekani, kwani mkwewe Trump (aliyeoa binti wa Trump, si Myahudi?)
Na huo mgogoro wao wa Kashmir unawapa msukumo wa kuendelea na majaribio ya makombora...Nao wamejibu!
Pakistani yafanya jaribio la kombora la nyuklia (Nuclear-Capable Ballistic Missile) siku chache baada ya India nayo kufanya jaribio kama hilo
Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia Pakistani imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya...www.jamiiforums.com
Kwahiyo tutegemee ccm kurusha kombora karibuni !India bado bado kidogo. Ilipaswa kuwa level moja na China. India ilikwamishwa na unafiki wa kisiasa na ufisadi chini ya chama chao cha ukombozi kilichotawala kifisadi kama CCM wanavyotawala huku.
Dunia hii !Waafrika hatujawekeza kwenye tafiti mbalimbali kwa kiwango kikubwa.Tuna watu wana akili kubwa,lakini hawatumiki vizuri.Mtu anaweza kuwa mzuri kwenye teknolojia, anapewa kazi za siasa.