Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Leta ushahida kwamba vifaa vilikuwa na ubora bali India wamekataa kwa hila za US na UK, isijekuwa unatuambia mambo ya kubuni hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahida kwamba vifaa vilikuwa na ubora bali India wamekataa kwa hila za US na UK, isijekuwa unatuambia mambo ya kubuni hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya maoni yangu yalikuwa posted kabla sijamalizia kujieleza - nilisrma hivi mbona mnarudiaPropaganda zipi na wakati wamekataa kuvitumia unajua maana ya propaganda
Leta ushahida kwamba vifaa vilikuwa na ubora bali India wamekataa kwa hila za US na UK, isijekuwa unatuambia mambo ya kubuni hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atakua ni yule mbuzi alieweka mbolea kwenye karata hadi watu wakawa wanalishana.Mbuzi mee au yule wa kukina nazi
Watanzania yaan wee ni sawa kuitetea China at any cost, na yeyeto anayetoa habari ambayo sio nzuri kwa china Bali ni pro west, wengine hatuna upande Kama ulivyo wewe, tumeleta habari Kama ulivyo is up to you uiamin au usiaminPlease revisit post #9 sina shaka kuna kitu utajifunza kama huko willing kujifunza.
Personaly have no doubt in my mind that this guy's analytical mind is unquestionably mega smart, unlike has beens.
Labda nikohoji swali dogo: hivi huna habari kwamba India na China waliwahi kupigana vita mwanzoni mwa miaka ya sitini na India ikatandikwa kweli kweli, uadui baina ya India na Uchina bado unaendelea mpaka leo, weakness hiyo ni rahisi sana India kutumiwa na USA kuihujumu China kibiashara ,we fikiria kwa nini India inunue vifaa tiba chungu mzima kutoka China bila ya kuchukuwa sample kidogo wakazifanyia majaribio kwanza kabla hawaja fikia uhamuzi wa kuvinunua kwa wingi - hizi publicity stunts za kudai eti vifaa tiba vya kutoka China havikidhi viwango, hizo ni mbinu zilizo sukwa mahususi kuharibia soko Uchina kwa kuwa wanajuwa kwamba vifaa tiba vya kupima Corona virus pamoja na life supporting machines including ventillators vita hitajika sana Duniani kutokana na ugonjwa unao tokana na Corona virus - wakaona Uchina utafahidika sana kutokana na mauzo ndio maana USA na genge lake wanajaribu kuwawekea Wachina a monkey spanner ili washindwe kuuza vifaa tiba vyao. Sakata la Huawei wanataka kuli hamishia huko.
We jiulize zile 20000 test kit za jack ma zikowapi, au tarehe 22 ujamsikia rais alisema Kuna mask za kichina ziko contaminated na covid-19 it means Kuna uwezekano serekali haijatumia zile mask 100,000 zilizotolewa na jack maPlease revisit post #9 sina shaka kuna kitu utajifunza kama huko willing kujifunza.
Personaly have no doubt in my mind that this guy's analytical mind is unquestionably mega smart, unlike has beens.
Labda nikohoji swali dogo: hivi huna habari kwamba India na China waliwahi kupigana vita mwanzoni mwa miaka ya sitini na India ikatandikwa kweli kweli, uadui baina ya India na Uchina bado unaendelea mpaka leo, weakness hiyo ni rahisi sana India kutumiwa na USA kuihujumu China kibiashara ,we fikiria kwa nini India inunue vifaa tiba chungu mzima kutoka China bila ya kuchukuwa sample kidogo wakazifanyia majaribio kwanza kabla hawaja fikia uhamuzi wa kuvinunua kwa wingi - hizi publicity stunts za kudai eti vifaa tiba vya kutoka China havikidhi viwango, hizo ni mbinu zilizo sukwa mahususi kuharibia soko Uchina kwa kuwa wanajuwa kwamba vifaa tiba vya kupima Corona virus pamoja na life supporting machines including ventillators vita hitajika sana Duniani kutokana na ugonjwa unao tokana na Corona virus - wakaona Uchina utafahidika sana kutokana na mauzo ndio maana USA na genge lake wanajaribu kuwawekea Wachina a monkey spanner ili washindwe kuuza vifaa tiba vyao. Sakata la Huawei wanataka kuli hamishia huko.
Please revisit post #9 sina shaka kuna kitu utajifunza kama huko willing kujifunza.

Uadui unaendelea hadi leo eti! Basi china kaamua kwa makusudi kabisa kumpelekea adui yake vifaa feki ili kumdhoofisha asifanikiwe kupambana na corona. Kama kawaida adui muombee njaa, na china kaamua kutumia hii janga la corona kumchapa adui yake kwa vifaa feki kwa bahati mbaya kwa mchina na nzuri kwa mhindi adui kang'amua, kwa hiyo mission ya mchina imefeli. Na Sasa amini kwamba china kamfanyia vile India kwa sababu ya uadui wao, asingeweza kumfanyia vile rafiki yake north Korea. Afu mtu kumfanyia mbaya adui yake wala si Jambo la ajabu ila kufanyia rafiki yake ndo ajabu.Please revisit post #9 sina shaka kuna kitu utajifunza kama huko willing kujifunza.
Personaly have no doubt in my mind that this guy's analytical mind is unquestionably mega smart, unlike has beens.
Labda nikohoji swali dogo: hivi huna habari kwamba India na China waliwahi kupigana vita mwanzoni mwa miaka ya sitini na India ikatandikwa kweli kweli, uadui baina ya India na Uchina bado unaendelea mpaka leo, weakness hiyo ni rahisi sana India kutumiwa na USA kuihujumu China kibiashara ,we fikiria kwa nini India inunue vifaa tiba chungu mzima kutoka China bila ya kuchukuwa sample kidogo wakazifanyia majaribio kwanza kabla hawaja fikia uhamuzi wa kuvinunua kwa wingi - hizi publicity stunts za kudai eti vifaa tiba vya kutoka China havikidhi viwango, hizo ni mbinu zilizo sukwa mahususi kuharibia soko Uchina kwa kuwa wanajuwa kwamba vifaa tiba vya kupima Corona virus pamoja na life supporting machines including ventillators vita hitajika sana Duniani kutokana na ugonjwa unao tokana na Corona virus - wakaona Uchina utafahidika sana kutokana na mauzo ndio maana USA na genge lake wanajaribu kuwawekea Wachina a monkey spanner ili washindwe kuuza vifaa tiba vyao. Sakata la Huawei wanataka kuli hamishia huko.
Kwa hiyo wakati wanaviagiza walikuwa wamesahau hiyo bifu. Very poor reasoning.India na China wana mgogoro wa mda mrefu so ni bifu la kibiashara na si vinginevyo
Hao akina sijui bwana utam ni graduates wa shule za kata au pengine ni product ya madrassa tu waliofundishwa Islamic Fundamentalism.Mchina anakuandikia memory card ina 32GB afu kumbe ni 512MB, afu hapo Bwana Utam ataitumia huku akiisifia kwa watu 'ni kubwa sana hii, 32GB si mnaona imeandikwa hapa'. Anti America ni watu wa ajabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani India ashinikizwe kukataa vifaa na USA halafu USA ndiyo atampa?Bahati mbaya maoni yangu yalikuwa posted kabla sijamalizia kujieleza - nilisrma hivi mbona mnarudia
rudia propaganda za washindani wa Uchina kibiashara - hicho ndicho India na baadhi ya Nchi za Ulaya kwa shinikizo la USA wanakiendeza nyuma ya pazia,mwenye macho haambiwi tazama, kitu kingine unaweza kutupatia link ambayo inaserma kwamba misaada ya vifaa tiba iliyo tolewa na billionea Jack Man ilikataliwa na Serikali ya Tanzania kutokana vifaa tiba kushindwa kukidhi viwango vya kimataifa?
Bila yashaka US anaweza akamshinikiza INDIA kwan hujawah kuona kwenye mengne wakishinikizwa Sio INDIA tu mataifa Mengi tuYaani India ashinikizwe kukataa vifaa na USA halafu USA ndiyo atampa?
Kwanza pole halaf pole halaf pole natenaHao akina sijui bwana utam ni graduates wa shule za kata au pengine ni product ya madrassa tu waliofundishwa Islamic Fundamentalism.
Unatarajia mtu kama huyo ajue nini zaidi wakati yeye nature ya imani yake ni kukaririshwa.
ili kuepukana na yote hayo inatakiwa ubuni ama utengeneze vyakwako mwenyewe unahisi UCHINA anavyotumia yeye mwenyewe anatumia feki kama anavyowaletea nyie ?!Mchina anakuandikia memory card ina 32GB afu kumbe ni 512MB, afu hapo Bwana Utam ataitumia huku akiisifia kwa watu 'ni kubwa sana hii, 32GB si mnaona imeandikwa hapa'. Anti America ni watu wa ajabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabila yahao WACHINA mngekua mnakufa kama kumbi kumbi wanawabeba nabado hambebekibinadamu anaye watetea wachina ni mbuzi