India yakataa vifaa vya kupima virusi kutoka China

India yakataa vifaa vya kupima virusi kutoka China

Na hili suala si india pekee waliolalamika,ni mataifa mengi tu
Hao waliovikataa ama kuvilalamikia angalia uhusiano wao nahao mabeberu wauaji ukoje

Hilo nisuala zima la KIUCHUMI hatakama ni ukweli usiopingika yakwamba UCHINA anatengeneza vitu feki ila asingekua na akili mbovu yakwenda kuviuza vitu hvyo ULAYA ama INDIA angekuja kukutupeini huko jalalani AFRIKA ila Sio ULAYA hilo nisuala zima la PROPAGANDA na VITA ya UCHUMI no More.

Sent using My COVID-19
 
China anapoteza soko la bihashara kutokana na uhongo uhongo alio nao ktk vifaaa vingi, uwa anadanganya sana. Mfano simu za kichina akikuandikia RAM, Speed na memory ni kiasi fulani ujue sio kweli ni nusu yake. Naona Chinese anakuja kupoteza Goodwill katika bihashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuja kupoteza endeleeni tu kupiga ramli angalia top10 ya simu zinazouzwa sana ulimwenguni halaf uangalie MCHINA anaendeleaje ?!

MCHINA mnatamani aanguke ila kiukweli kwaalipo fikia pamoja nahila anazo fanyiwa anatetereka ila kuanguka moja kwamoja ndio ngumu

Kwahio lazma mumtegemee tu kwasasa hakuna namna.....

Sent using My COVID-19
 
H
 
Attachments

  • IMG_20200503_143938.jpg
    IMG_20200503_143938.jpg
    22.1 KB · Views: 1
ili kuepukana na yote hayo inatakiwa ubuni ama utengeneze vyakwako mwenyewe unahisi UCHINA anavyotumia yeye mwenyewe anatumia feki kama anavyowaletea nyie ?!

Tatizo lenu mnashindwa kujiongeza mnakalia lawama na halafu mkiyaona mataifa yawatu yanayojitahidi kujipenda nakujiendeleza yenyewe kama IRAN mnawaandama kwavikwazo nakuwasimanga

Nasema vp muuziwe tu hata memory za GB 60 nje ila ndani ziwe KB1 Ili Mnyooke

UCHINA kapambana kufika pale alipo nyie mnangojea nn kila kitu mnataka USAID waje wawape mwisho wanawauwa kwamaradhi namasharti yakipuuzi

Mpaka Mnyooke [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using My COVID-19
Hiyo dunia ya kila mtu ajitengenezee kitu chake haipo, hata huyo mchina hajitengenezei kila kitu. Sio kila kitu lazima utetee sheikh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote kwa yote hii korona imekuja kama project ya watu Fulani waliotarajia mambo Fulani. Korona inatisha sana mtandaoni kuliko uhalisia, Wanao engineer hii kitu watakua wanajua wanachokitaka. Huu ugonjwa siku so nyingi tutajua ukweli.. ni ugonjwa feki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu ni shida sana

Attachments

  • VID-20200504-WA0140.mp4
    7.1 MB
Hivi vi macho vidonda vimekuwa vishenzi sana sasa hivi! Mtu kama huyu mnamrudisha kwao bila kumshikisha adabu au hata ukuta huo nao si ni utaahira!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dunia ya kila mtu ajitengenezee kitu chake haipo, hata huyo mchina hajitengenezei kila kitu. Sio kila kitu lazima utetee sheikh.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU sio kama kila kitu natetea nasawa hakuna anaetengeneza kila kitu ila ukitengeneza baadhi ya vitu unajipa heshma flani

sasa unatakiwa ujiulize wewe unatengeneza nini mpaka watu wakuheshimu ?!

Dunia yasasa imebadilika imekua watu wanathamini sana kitu kuliko utu kama huwez zalisha hata barakoa heshma utaisikia kwamajirani zako tu MKUU

Unaweza usiwe na vitu vyote ila uwa nabaadhi ya vitu ambavyo vita itetea na kuiheshimisha hadhi yako ulonayo.....

Sasa mbona India inatengeneza vitu kibao tu! Au hujui hilo?
Make ulisema kuepukana na hilo kila mtu abuni na kutengeneza vya kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom