India yakataa vifaa vya kupima virusi kutoka China

Na hili suala si india pekee waliolalamika,ni mataifa mengi tu
Hao waliovikataa ama kuvilalamikia angalia uhusiano wao nahao mabeberu wauaji ukoje

Hilo nisuala zima la KIUCHUMI hatakama ni ukweli usiopingika yakwamba UCHINA anatengeneza vitu feki ila asingekua na akili mbovu yakwenda kuviuza vitu hvyo ULAYA ama INDIA angekuja kukutupeini huko jalalani AFRIKA ila Sio ULAYA hilo nisuala zima la PROPAGANDA na VITA ya UCHUMI no More.

Sent using My COVID-19
 
Atakuja kupoteza endeleeni tu kupiga ramli angalia top10 ya simu zinazouzwa sana ulimwenguni halaf uangalie MCHINA anaendeleaje ?!

MCHINA mnatamani aanguke ila kiukweli kwaalipo fikia pamoja nahila anazo fanyiwa anatetereka ila kuanguka moja kwamoja ndio ngumu

Kwahio lazma mumtegemee tu kwasasa hakuna namna.....

Sent using My COVID-19
 
Vipimo vya korona ni tazizo lingine kwa dunia
 
Hiyo dunia ya kila mtu ajitengenezee kitu chake haipo, hata huyo mchina hajitengenezei kila kitu. Sio kila kitu lazima utetee sheikh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote kwa yote hii korona imekuja kama project ya watu Fulani waliotarajia mambo Fulani. Korona inatisha sana mtandaoni kuliko uhalisia, Wanao engineer hii kitu watakua wanajua wanachokitaka. Huu ugonjwa siku so nyingi tutajua ukweli.. ni ugonjwa feki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu ni shida sana

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID-20200504-WA0140.mp4
    7.1 MB
Hivi vi macho vidonda vimekuwa vishenzi sana sasa hivi! Mtu kama huyu mnamrudisha kwao bila kumshikisha adabu au hata ukuta huo nao si ni utaahira!?
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dunia ya kila mtu ajitengenezee kitu chake haipo, hata huyo mchina hajitengenezei kila kitu. Sio kila kitu lazima utetee sheikh.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU sio kama kila kitu natetea nasawa hakuna anaetengeneza kila kitu ila ukitengeneza baadhi ya vitu unajipa heshma flani

sasa unatakiwa ujiulize wewe unatengeneza nini mpaka watu wakuheshimu ?!

Dunia yasasa imebadilika imekua watu wanathamini sana kitu kuliko utu kama huwez zalisha hata barakoa heshma utaisikia kwamajirani zako tu MKUU

Unaweza usiwe na vitu vyote ila uwa nabaadhi ya vitu ambavyo vita itetea na kuiheshimisha hadhi yako ulonayo.....

Sent using My COVID-19
 
Sasa mbona India inatengeneza vitu kibao tu! Au hujui hilo?
Make ulisema kuepukana na hilo kila mtu abuni na kutengeneza vya kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…