Ila yule dadaake bhana kasimamia msumari sanaMtanzania kill Paul ambaye amejizolea mashabiki na umaarufu katika mtandao wa TikTok na Instagram haswa kwa kucheza na kuigiza nyimbo za kihindi akiwa amevalia vazi la kimasai pamoja na mdogo wake wa kike.
Amepata mwaliko katika ubalozi wa India Nchini na kukutana na Balozi wa nchi hiyo
Afu akazinguliwaAmbarutty yeye alialikwa shule kama mgeni rasmi.
Hivi huko shule alikuwa anawaambia kitu gani wanafunzi?Afu akazinguliwa
Wakati mia khalifa mpaka petition ya kuwania ubalozi wa saudi arabia alishirikit
KivipJamaa kishatoboa mazima
Kivip
ThanksKwanza kuna waigizaji walishamwita aende India wakaigize nadhani bado kwenda tu, halafu deals za makampuni lazima atapata ukizingatia makampuni mengi ya wahindi watataka wamtumie kua maarufu kuna faida yake na kizuri zaidi mwamba anaongea kiingereza bora kabisa
Alitoka wapi man uyo kaenda hapo ubalozi wa India hapa hapa town.The Power of Technology....
Akitoka huko aje na watalii wachache wa Kihindi (ila kabla aongee na Jamaa wa-Utalii apige commission) Uzalendo pekee hauleti Mkate Mezani (ukizingatia kinachopatikana kwa uzalendo wako Mbuzi wasio na Kamba wanamaliza)
Ni muda sasa wa jamaa kutafuta management apate haya ma diliKwanza kuna waigizaji walishamwita aende India wakaigize nadhani bado kwenda tu, halafu deals za makampuni lazima atapata ukizingatia makampuni mengi ya wahindi watataka wamtumie kua maarufu kuna faida yake na kizuri zaidi mwamba anaongea kiingereza bora kabisa
Hongera zake na anaweza akatumika sambamba na hilo kuitangaza nchi na mambo mengine mengi kama balozi wa uhifadhi na etcMtanzania Kill Paul ambaye amejizolea mashabiki na umaarufu katika mtandao wa TikTok na Instagram haswa kwa kucheza na kuigiza nyimbo za kihindi akiwa amevalia vazi la kimasai pamoja na mdogo wake wa kike.
Amepata mwaliko katika ubalozi wa India Nchini na kukutana na Balozi wa nchi hiyo.