India yamtambua "Tiktoker" Kill Paul

India yamtambua "Tiktoker" Kill Paul

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mtanzania Kill Paul ambaye amejizolea mashabiki na umaarufu katika mtandao wa TikTok na Instagram haswa kwa kucheza na kuigiza nyimbo za kihindi akiwa amevalia vazi la kimasai pamoja na mdogo wake wa kike.

Amepata mwaliko katika ubalozi wa India Nchini na kukutana na Balozi wa nchi hiyo.

1645535085479.png

1645535179014.png

The Power of Technology....

Akitoka huko aje na watalii wachache wa Kihindi (ila kabla aongee na Jamaa wa-Utalii apige commission) Uzalendo pekee hauleti Mkate Mezani (ukizingatia kinachopatikana kwa uzalendo wako Mbuzi wasio na Kamba wanamaliza)
 
Mtanzania kill Paul ambaye amejizolea mashabiki na umaarufu katika mtandao wa TikTok na Instagram haswa kwa kucheza na kuigiza nyimbo za kihindi akiwa amevalia vazi la kimasai pamoja na mdogo wake wa kike.

Amepata mwaliko katika ubalozi wa India Nchini na kukutana na Balozi wa nchi hiyo
Ila yule dadaake bhana kasimamia msumari sana
 
Kwanza kuna waigizaji walishamwita aende India wakaigize nadhani bado kwenda tu, halafu deals za makampuni lazima atapata ukizingatia makampuni mengi ya wahindi watataka wamtumie kua maarufu kuna faida yake na kizuri zaidi mwamba anaongea kiingereza bora kabisa
Thanks
 
The Power of Technology....

Akitoka huko aje na watalii wachache wa Kihindi (ila kabla aongee na Jamaa wa-Utalii apige commission) Uzalendo pekee hauleti Mkate Mezani (ukizingatia kinachopatikana kwa uzalendo wako Mbuzi wasio na Kamba wanamaliza)
Alitoka wapi man uyo kaenda hapo ubalozi wa India hapa hapa town.
 
Kwanza kuna waigizaji walishamwita aende India wakaigize nadhani bado kwenda tu, halafu deals za makampuni lazima atapata ukizingatia makampuni mengi ya wahindi watataka wamtumie kua maarufu kuna faida yake na kizuri zaidi mwamba anaongea kiingereza bora kabisa
Ni muda sasa wa jamaa kutafuta management apate haya ma dili
 
Mtanzania Kill Paul ambaye amejizolea mashabiki na umaarufu katika mtandao wa TikTok na Instagram haswa kwa kucheza na kuigiza nyimbo za kihindi akiwa amevalia vazi la kimasai pamoja na mdogo wake wa kike.

Amepata mwaliko katika ubalozi wa India Nchini na kukutana na Balozi wa nchi hiyo.
Hongera zake na anaweza akatumika sambamba na hilo kuitangaza nchi na mambo mengine mengi kama balozi wa uhifadhi na etc
 
Back
Top Bottom