Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapa.Uzalendo pekee hauleti Mkate Mezani
Duh !!!! basi aombe contact za kina Patel, Singh na Chakraboty... ili awa-add na wam-follow...Alitoka wapi man uyo kaenda hapo ubalozi wa India hapa hapa town.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambarutty yeye alialikwa shule kama mgeni rasmi.
Nawee babuuh nifanyie mpango mjukuu wako, hutaki niwe ambassador? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubunifu chanya huleta nafuu kwenye maisha
Nimeona amejenga nyumba kali sana...Jamaa kishatoboa mazima
SIO SERIKALI YETU...LABDA UBALOZI WA KODI...Hakika hapa kijana kapata shavu na serikali inaweza kumutumia kutangaza utalii huko nje.
Wahindi unawajua au unawasikia?Jamaa kishatoboa mazima
Na hapo ndipo Tatizo la serikali yetu huanziaSIO SERIKALI YETU...LABDA UBALOZI WA KODI...
UTALII WANAPEWA WATU WA NJE KAMA BONGO ZOZO...NA KALE KATOTO KA UINGEREZA KALE KALIPEWA UBALOZI WA UTALII...ILA WABONGO TANGAZENI UZALENDA...