India yamtambua "Tiktoker" Kill Paul

India yamtambua "Tiktoker" Kill Paul

Hongera zake na anaweza akatumika sambamba na hilo kuitangaza nchi na mambo mengine mengi kama balozi wa uhifadhi na etc
Hakika hapa kijana kapata shavu na serikali inaweza kumutumia kutangaza utalii huko nje.
 
Hakika hapa kijana kapata shavu na serikali inaweza kumutumia kutangaza utalii huko nje.
SIO SERIKALI YETU...LABDA UBALOZI WA KODI...

UTALII WANAPEWA WATU WA NJE KAMA BONGO ZOZO...NA KALE KATOTO KA UINGEREZA KALE KALIPEWA UBALOZI WA UTALII...ILA WABONGO TANGAZENI UZALENDA...
 
SIO SERIKALI YETU...LABDA UBALOZI WA KODI...

UTALII WANAPEWA WATU WA NJE KAMA BONGO ZOZO...NA KALE KATOTO KA UINGEREZA KALE KALIPEWA UBALOZI WA UTALII...ILA WABONGO TANGAZENI UZALENDA...
Na hapo ndipo Tatizo la serikali yetu huanzia
 
hata dada mtu atakuwa kashapata tapeli asiye mmasai.maana yuko sex sana.
 
Anastahili kufika alipofika, kapambana sana huko Tiktok kwa sisi ambao tumemfuatilia tangia mwanzoni. Hongera kwake
 
Na siyo Balozi wa India tu nchini, juzi Waziri Mkuu wa India alim-acknowledge kupitia tweet yake.

Ukweli ni kwamba, jamaa kapata fan base kubwa sana. Na ukweli ni kuwa, anajua ku-act.

Kupitia reels zake chache nilizoziona, jamaa anajua sana kuigiza.

Ninachopendezwa naye ni kutokuacha vazi lake la Kimasai. Mashallah!. Mungu aendelee kuwainua.
 
Anastahili kufika alipofika, kapambana sana huko Tiktok kwa sisi ambao tumemfuatilia tangia mwanzoni. Hongera kwake
Hakika anastahiri Sana.
 
Back
Top Bottom