Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja.

Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo.

Uchumba kabla ya ndoa pia utapigwa marufuku na wale watakaopatikana na hatia wanaweza kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela.

========

Indonesia set to punish sex before marriage with jail time

Indonesia's parliament is expected to pass a new criminal law this month that will punish sex outside marriage with imprisonment of up to a year.

Bambang Wuryanto, a politician involved in the draft, said the code could be passed as early as next week.

The law, if passed, would apply to Indonesian citizens and foreigners alike.

Punishment for adultery can only take effect if there are parties who lodge complaints to the authorities.

For those who are married, the party entitled to lodge a complaint is the perpetrator's husband or wife.

The law also allows the parents of unmarried people to report them for having sex.

Cohabitation before marriage will also be banned and those convicted could face a six-month prison sentence.

Business groups have expressed concern about the damage the rules might do to Indonesia's image as a holiday and investment destination, according to Reuters.

Shinta Widjaja Sukamdani, deputy chairperson of Indonesia's Employers' Association (APINDO), said: "For the business sector, the implementation of this customary law shall create legal uncertainty and make investors reconsider investing in Indonesia."

The previous draft of the code was set to be passed in 2019 but sparked nationwide protests with tens of thousands taking part in demonstrations.

Many, including students, took to the streets in cities across Indonesia with the main clashes taking place in the capital Jakarta.

Tear gas and water cannon were used against protesters who had thrown stones at police.

Such strict laws on sex and relationships are not without precedent in parts of majority-Muslim Indonesia.

The province of Aceh enforces strict Islamic law and has punished people for gambling, drinking alcohol and meeting members of the opposite sex.

In one case in 2021, neighbours denounced two men for having sex. They each received 77 lashes from a police officer in a public caning.

On the same day a woman and man were each given 20 lashes for being caught in close proximity to each other, and two men were given 40 lashes each for getting drunk.

Source: BBC
 
Bunge la hovyo kabisa Hilo
Wazuie kwanza sheria inayoruhusu watoto wadogo ,wanafunzi na vichanga kuvutishwa ndumu[emoji34]
images-1059.jpg
images-1065.jpg
images-1063.jpg
 
Attachments

  • images-1068.jpg
    images-1068.jpg
    45.8 KB · Views: 6
Tegemea utalii Indonesia ushuke na safari za Bali zipungue sana.
 
Walete na huku kwetu hii Sheria
Kama naona watz wote wanavyoswekwa jela.
 
Safi sana, inabidi nasi tuige.
 
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja.

Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo.

Uchumba kabla ya ndoa pia utapigwa marufuku na wale watakaopatikana na hatia wanaweza kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela.

========

Indonesia set to punish sex before marriage with jail time

Indonesia's parliament is expected to pass a new criminal law this month that will punish sex outside marriage with imprisonment of up to a year.

Bambang Wuryanto, a politician involved in the draft, said the code could be passed as early as next week.

The law, if passed, would apply to Indonesian citizens and foreigners alike.

Punishment for adultery can only take effect if there are parties who lodge complaints to the authorities.

For those who are married, the party entitled to lodge a complaint is the perpetrator's husband or wife.

The law also allows the parents of unmarried people to report them for having sex.

Cohabitation before marriage will also be banned and those convicted could face a six-month prison sentence.

Business groups have expressed concern about the damage the rules might do to Indonesia's image as a holiday and investment destination, according to Reuters.

Shinta Widjaja Sukamdani, deputy chairperson of Indonesia's Employers' Association (APINDO), said: "For the business sector, the implementation of this customary law shall create legal uncertainty and make investors reconsider investing in Indonesia."

The previous draft of the code was set to be passed in 2019 but sparked nationwide protests with tens of thousands taking part in demonstrations.

Many, including students, took to the streets in cities across Indonesia with the main clashes taking place in the capital Jakarta.

Tear gas and water cannon were used against protesters who had thrown stones at police.

Such strict laws on sex and relationships are not without precedent in parts of majority-Muslim Indonesia.

The province of Aceh enforces strict Islamic law and has punished people for gambling, drinking alcohol and meeting members of the opposite sex.

In one case in 2021, neighbours denounced two men for having sex. They each received 77 lashes from a police officer in a public caning.

On the same day a woman and man were each given 20 lashes for being caught in close proximity to each other, and two men were given 40 lashes each for getting drunk.

Source: BBC
Hapo lazima kiongozi na viongozi wa hiyo nchi ni WAISIHARAMU SIKU ZOTE WAISIHARAMU AWANA AKILI TIMAMU
 
Pale mhindi anapokofanya ni mwarabu zaidi ya mwarabu. By the way hizi Arabic cultures zimachukuliwa vibaya na baadhi ya mataifa waliopelekewa na zinasabanisha maafa na tafrani nyingi kwenye jii zaidi ya amani inayotamkwa kuwa inasababisha
 
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja.

Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo.

Uchumba kabla ya ndoa pia utapigwa marufuku na wale watakaopatikana na hatia wanaweza kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela.

========

Indonesia set to punish sex before marriage with jail time

Indonesia's parliament is expected to pass a new criminal law this month that will punish sex outside marriage with imprisonment of up to a year.

Bambang Wuryanto, a politician involved in the draft, said the code could be passed as early as next week.

The law, if passed, would apply to Indonesian citizens and foreigners alike.

Punishment for adultery can only take effect if there are parties who lodge complaints to the authorities.

For those who are married, the party entitled to lodge a complaint is the perpetrator's husband or wife.

The law also allows the parents of unmarried people to report them for having sex.

Cohabitation before marriage will also be banned and those convicted could face a six-month prison sentence.

Business groups have expressed concern about the damage the rules might do to Indonesia's image as a holiday and investment destination, according to Reuters.

Shinta Widjaja Sukamdani, deputy chairperson of Indonesia's Employers' Association (APINDO), said: "For the business sector, the implementation of this customary law shall create legal uncertainty and make investors reconsider investing in Indonesia."

The previous draft of the code was set to be passed in 2019 but sparked nationwide protests with tens of thousands taking part in demonstrations.

Many, including students, took to the streets in cities across Indonesia with the main clashes taking place in the capital Jakarta.

Tear gas and water cannon were used against protesters who had thrown stones at police.

Such strict laws on sex and relationships are not without precedent in parts of majority-Muslim Indonesia.

The province of Aceh enforces strict Islamic law and has punished people for gambling, drinking alcohol and meeting members of the opposite sex.

In one case in 2021, neighbours denounced two men for having sex. They each received 77 lashes from a police officer in a public caning.

On the same day a woman and man were each given 20 lashes for being caught in close proximity to each other, and two men were given 40 lashes each for getting drunk.

Source: BBC
Uislam na waislamu!
 
Ukitaka kujua kuwa akili za wa Afrika wengi ziko matakoni akiwemo ww basi angalia ulicho kiandika.

Hutaki single mother, hutaki mimba za utotoni lakini wakati huo hutaki sheria ya kuzuia hicho chanzo cha single mother na mimba za utotoni.
Mimi ni genius bila shaka yoyote ...tatizo wewe ni zuzu hivyo unashindwa kutumia akili kuelewa....hiyo sheria logic yake ni nzuri ila ni sheria mfu ni sawa sawa na kutangaza kupiga marufuku raia wema kufa duniani ...wakati unajua wazi kuwa binadamu lazima wafe.

Sasa nikuulize swali kwanini mungu wa dini yako asinge zuia kwa nguvu zake mambo maovu yasitendeke duniani kama hatakavyo fanya peponi je huyo mungu ni zuzu maana anakataza uovu huku anao uwezo wa kuukomesha.

Hapo ndiyo utajua kwanini sitaki single mother sitaki ndoa za utotoni ila nasema hiyo sheria ni upumbavu hata mungu wako hataki dhambi na maovu ila kayaacha yaendelee kutendeka duniani nijibu je mungu naye ni mpumbavu kama mimi.... kama siyo basi ujue mungu nae ni jiniasi kama mimi.
 
Nimeona huko Indonesia wametunga sheria ya kuzuia Watu wasiooa au kuolewa kufanya tendo la ndoa ( ngono)

Ukipatikana umengonoka bila ndoa unakuwa umetenda jinai

Najiuliza tu kama Hapa Tanzania magereza yangetosha kuhifadhia Mahabusu na Wafungwa
 
Ukiona jambo la kiungwana linapitishwa halafu watu wanalipinga kwa nguvu....
Fahamu kabisa spidi ya dunia yetu kuelekea korongoni imekuwa kali....
 
Matatizo mengine nchi huwa zinajitakia tu. Sasa wachina Wabudhha na wale jamaa wa Guinea watawezana na hizo habari? Wanakaribisha vurugu wenyewe.
 
Back
Top Bottom