Huwezi shindana na nature ngono ni jambo la asili la viumbe akiwepo binadamu mambo haya yanawezekana kwa wanadini ambai dhaniri zao zinawasuta wakitaka kufanya jambo kinyume na mafundisho ya imani zao lakini si kwakuwawekea sheria kama hizi wapagani ambao hawaoni hatia kusex before marriage hapo mnatafuta mizozo