Indonesia yadhamiria kununua hisa zote kitalu cha gesi Mnazi Bay Mtwara

Indonesia yadhamiria kununua hisa zote kitalu cha gesi Mnazi Bay Mtwara

“Pertamina seeks to expand its presence and acquire the majority shares in Mnazi Bay Bloc operation through its subsidiary Maurel & Prom,” Retno said in a joint press

Katika Hili Ngoja Nikapate Muongozo Wa Wakili Msomi MWABUKUSI Kwanza Ndio Nitajua Cha Kuchangia.
 
Hivi kwa nini sijasikia Tanzania imeenda kuweza some where. Jamani hatuwezi kuwekeza nje,na kwenye nchi yetu hatuwezi kuwekeza jamani. 😭
Tulipo Leo Indonesia ilikuwepo miaka ya 90,kuwekeza hela uwe nayo,tuiandae tanesco na mifuko ya hifadhi kuwa wawekezaji nje siku za usoni
 
Toka maktaba : manunuzi ya hisa

Ziara ya Biteko Lindi Kampuni ya Indiana yajisalimisha​

Tarehe : Aug. 20, 2019, 6:21 a.m.

1692785965068.png

Na Issa Mtuwa Dodoma

Kufuatia ziara aliyofanya Waziri wa Madini Doto Biteko mkoani Lindi na Mtwara hususani wilaya ya Nachingwea na kuibua sintofahamu juu ya Kampuni ya Ngwena Ltd kuhusu ushirika wake na Kampuni ya Indiana kutoka Australia, suala hilo limefanya Uongozi wa Kampuni ya Indiana kupitia Mkurugenzi wake Bob Adam kuja nchini kukutana na Waziri wa Madini ili kujadili kuhusu ushirika wao na Ngwena Ltd.

Leo Agosti 19, 2019 Waziri Biteko amekutana na kuzungumza na mkurugenzi huyo kuhusu ushirika wao wa kuunganisha kampuni hizo bila kuijulisha wizara.

Waziri Biteko amembana mwekezaji huyo kwa hoja tatu zilizopelekea kutopatika majibu ya moja kwa moja kutokana na kuto kuwepo kwa mwakilishi wa upande wa pili wa wa kampuni ya Ngwena Ltd.

Hoja hizo ambazo waziri Biteko alitaka kufahamu kutoka kwa kampuni ya Indiana ni; mosi, makubaliano kati ya Indiana na Ngwena hayana taarifa kwa Wizara, ni kwa nini waliamua kuunganisha bila kuijulisha Wizara wakati kampuni moja ni ya Kitanzania na nyingine ni ya kigeni Mbili, Wizara inataka kuona makubaliano yao ya kimaslahi (fair deal) baina ya pande zote ili pia wizara ijue serikali inafaidikaje?

Na tatu, kampuni husika zinatunzaje shehena kubwa ya sampuli za madini bila kuijulisha Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ambayo ndio yenye dhamana ya utunzaji?

Aidha, waziri Biteko aliendelea kuibana kampuni hiyo ya Indiana kupitia mkurugenzi wake huyo kwa kumuuliza uhusika wake katika kampuni ya Ngwena Ltd huku Mkurugenzi wa huduma za Sheria wa Wizara ya Madini Edwin Igenge akimhoji ni tangu lini ushirika wake na Ngwena ulianza? Je, ni kabla au baada ya marekebisho ya Sheria ya Mwaka 2017?

Akitoa majibu kwa baadhi ya hoja na maswali, Bob Adam amesema Indiana ndio inayomiliki Ngwena Ltd na kufadhili kifedha na masuala mengine.

Kuhusu kabla au baada ya marekebisho ya sheria ya 2017 Adam hakuwa na uhakika wa moja kwa moja na alisema mpaka arejee kwenye nyaraka ili ajiridhshe.

“Kampuni yetu ndio inayo miliki Ngwena Ltd kwa maana Indiana inamiliki 60% ya hisa zote na ndio maana ninasema Indiana inamiliki Ngwena,” amesema Bob Adam.

Kutokana na hoja tatu za msingi kutopatiwa majibu ya kuridhisha kwa kukosekana kwa Uongozi wa Ngwena Ltd katika kikao hicho, Waziri Biteko ametaka kupangwa kwa tarehe nyingine huku akimtaka Adam kurudi tena nchini akiwa na uongozi wa Ngwena Ltd ili kufahamu kiundani juu ya makubaliano yao kwani mpaka sasa kampuni inayotambuliwa na wizara ni Ngwena Ltd na siyo Indiana.

Wiki iliyopita Waziri wa Madini alifanya ziara mkoani Lindi wilaya ya Nachingwea na kutembelea eneo la Nditi ambalo kampuni ya Ngwena Ltd imewekeza, moja ya mambo aliyokutana nayo ni uwepo wa makubaliano (Joint-Venture) kati ya kampuni ya Ngwena Ltd na Indiana kutoka Australia kinyume cha sheria na uwepo wa shehena kubwa ya sampuli za madini zilizohifadhiwa kinyume cha sheria.

MORE INFO:
20 Julai 2023
INDIANA RESOURCES YASHINDA KESI YA FIDIA MAHAKAMA YA USULUHISHI KIMATAIFA

Hoja nzuri sana hii. Inatakiwa mfano rais wa Tanzania akienda Zambia, DR Congo, Malawi, Mozambique, South Africa, Dubai, Rwanda asaini mikataba ya sekta ya ugavi, usafiri wa malori, viwanda ili kampuni kubwa za Tanzania zisisumbuliwe na ziwekeze nje.

Tunayo makampuni makubwa mfano Mount Meru Oil Group imesambaa Afrika Mashariki, kusini na Dubai. Bakhresa Group of Company, Mohammed Enterprise LTD, kampuni za TEHAMA zote, NALA n.k mabalozi waandae MoU ya nguvu ili rais wa Tanzania akitembelea azinadi kampuni zetu na kuzikingia kifua zisisumbuliwe pale mpakani Kasumbalesa Zambia / Congo border post n.k

View: https://m.youtube.com/watch?v=Xrxf96H1V0o&p

Hata Taifa Gas inawekeza Kenya
 
28 Jul 2023
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lilitangaza kuanza kufanya ukarabati wa miudombinu ya kisima cha gesi cha mnazi bay Mtwara, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kuongeza uzalishaji.

Leo tunaambiwa kwamba Indonesia imeonyesha nia ya kununua hisa zote za mnazi bay zinazo milikiwa na kampuni ya Ufaransa..!!

Sasa mbona mambo yanakua hayaeleweki, yaani nini ni kipi...??
Na huyo Indonesia unakuta ni watu wa hapa hapa Bongodaslam wanajiita wa Indonesia
 
Mataifa ya Kiislamu naona wanakimbilia kwa mwislamu mwenzao. Scrumble for Tanganyika natural resources by Islamic World!

Is Indonesia an Islamic country?

Islam is the largest religion in Indonesia, with 86.7% of the Indonesian population identifying themselves as Muslim in a 2018 survey. Indonesia is the most populous Muslim-majority country, with approximately 231 million adherents. Friday prayers in Istiqlal Mosque, Jakarta. 86.7% of the population.
Unaogopa nn?😅
 
Tujikite kwenye details za mkataba mambo ya dini tuyaache .mm mkristo lakini kama hoja saba za TEC mama atazirekebisha .nitaomba niwepo kikundi cha ngoma kuwapokea DPW
 
ukisha ingiza mambo ya ushoga, kwaheri. Talk science not issues of God ambaye hujui kama yupo bali kuamini...imani can be true or uongo.
Mataifa ya waslam wanabarikiwa na mataifa ya wakristo yanakufa ona west Afrika kinacho endelea. Usichukie kuona wale waslam wana hela na wala usichukie dini yao
 
Mataifa ya waslam wanabarikiwa na mataifa ya wakristo yanakufa ona west Afrika kinacho endelea. Usichukie kuona wale waslam wana hela na wala usichukie dini yao
wanabaikiwa na nani? Kwani West afrika kuna nini walichobarikiwa?
 
Tujikite kwenye details za mkataba mambo ya dini tuyaache .mm mkristo lakini kama hoja saba za TEC mama atazirekebisha .nitaomba niwepo kikundi cha ngoma kuwapokea DPW
POINT KUBWA KWA SIKU YA LEO. Ila natofautiana na wewe. hakuna kuwapa bandari, turekebishe mapungufu. Tutakwenda hivyo mpaka lii?
 
POINT KUBWA KWA SIKU YA LEO. Ila natofautiana na wewe. hakuna kuwapa bandari, turekebishe mapungufu. Tutakwenda hivyo mpaka lii?
Kaka hoja hizo zikirekebishwa dpw watakimbia wenyewe wawekezaji wakweli watakuja.dpw ni watu waliozoea nunua nyumba za mnada kwa wateja waliofilisika.sisi tukibadili kuwa hatuuzi kwa njaa tunauza kwa kutumia real estate company watakimbia wenyewe
 
Pertamina Seeks Majority Share in Tanzania’s Mnazi Bay​

Jayany Nada Shofa
June 22, 2023 | 3:43 pm

Foreign Affairs Minister Retno Marsudi shakes hands with her Tanzanian counterpart Stergomena Tax in Jakarta on June 22, 2023. (Photo Courtesy of the Foreign Affairs Ministry)

Foreign Affairs Minister Retno Marsudi shakes hands with her Tanzanian counterpart Stergomena Tax in Jakarta on June 22, 2023. (Photo Courtesy of the Foreign Affairs Ministry)

Indonesia is seeking greater outbound investment in Tanzania, among others, through state-owned oil firm Pertamina, according to Foreign Affairs Minister Retno Marsudi.

“Pertamina seeks to expand its presence and acquire the majority shares in Mnazi Bay Bloc operation through its subsidiary Maurel & Prom,” Retno said in a joint press statement in Jakarta on Thursday, shortly after a bilateral meeting with her Tanzanian counterpart Stergomena Tax.

Maurel & Prom is a Paris-based oil company, as well as a subsidiary of Pertamina’s international arm PIEP (Pertamina Internasional Eksplorasi dan Produksi). PIEP today holds a 71.09 percent stake in Maurel & Prom. Pertamina Group in 2017 acquired Maurel & Prom with operations spread across Africa and Latin America.

Maurel & Prom hold a 48.06 percent working interest in Mnazi Bay, which lies onshore in the Mtwara region. Maurel & Prom is also working on acquiring Jersey-based natural gas producer Wentworth Resources which holds a 31.94 percent working interest in the Mnazi Bay’s production operations.
Dah,kumbe kweli hatuna chetu yaani kwenye hisa 100% kama nchi hatuna hisa hata moja
 
A

Msiyemtaka kaja. Asilimi 87 ya Waindonesia ni wavaa makobazi.
 
Hivi kwa nini sijasikia Tanzania imeenda kuweza some where. Jamani hatuwezi kuwekeza nje,na kwenye nchi yetu hatuwezi kuwekeza jamani. 😭
Kibaya zaidi watawala wao rangi nyeupe tu ni tajiri

Indonesia seriously?

Indonesia watu wao ni maskini kupitiliza
Watawala huwa wanafanya utafiti kujua lengo la hawa wawekezaji.
Kwa nini watu wachache waamue maamuzi makubwa ya nchi
Kulipa ni mtu mmoja
Uwekezaji kikundi cha watu
Hii nchi inahitaji mageuzi makubwa tu muhimu ni kuwawajibisha wezi wabadhirifu wa mali za umma…
It’s getting too much
Umeme shida
Maji shida
Elimu shida
Afya shida
Ajira shida
Aliyetuloga sijui yupo wapi?
 
Back
Top Bottom