Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Naona umefukua kaburi.Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
View attachment 3450722
Polepole aendelee kupiga hapo hapo kwenye mshono!Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
View attachment 3450722
Usikute hata wachawi wenyewe au mashetani ndio hao hao.Ccm wamekubuhu kwenye hadaa
Meno ccm yule kihamiaKailima ni kada muaminifu wa Fisiemu ni mtu muongo sana leo kavuliwa nguo kweupeee
CCM ni wataalamu wa kushupaza shingo a.k.a kujizima dataSasa wanakataa nini sasa hivi? OGOPENI TECHNOLOGY na Mungu pekee. Hakika mtaumbuka sana CCM kama mtu atembeaye uchi kabisa sokoni.
Polepole ANAWAMALIZA.
Kuna kitu hujaelewa kumbe, hapo wale ambao hawatajitokeza kupiga kura ni sawa na walioenda maana watapigiwa huko juu kwa juu na kujumuishwa smbamba na kupata idadi kubwa ya waliojiandikisha pasipo uhalisiaWatanzania ni hamnazo kweili kweli sasa hapa kuna ubaya gani hizo ni technologies. Tena tumechelewa sana. ! Kwanza kura tunapiga kwa paper huo mfumo ndio unapiga kura.
Tena mfumo kabisa wengeunga na rita kabisa ili watu tusisumbuane sijui kalete cheti cha kuzaliwa au kalete nida .mwendo uwe online tu katika huduma za kijamiii kama bank , hospital na n.k