GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."

View attachment 3451111

View attachment 3450722
Sasa wanna bisha na kukanisha nini?
 
Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."

View attachment 3451111

View attachment 3450722
Slow slow wahi huku nyeti za kuku ulizopuliza tayari zimeanza kuachia zenyewe
 
Back
Top Bottom