Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Yanaumbuka tu haya majituWatanzania ni hamnazo kweili kweli sasa hapa kuna ubaya gani hizo ni technologies. Tena tumechelewa sana. ! Kwanza kura tunapiga kwa paper huo mfumo ndio unapiga kura.
Tena mfumo kabisa wengeunga na rita kabisa ili watu tusisumbuane sijui kalete cheti cha kuzaliwa au kalete nida .mwendo uwe online tu katika huduma za kijamiii kama bank , hospital na n.k