GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yanaumbuka tu haya majitu
 
Kwanini sasa wanakanusha? Wewe ndio hamnazo
 
Next time kabla ya kuandika utumbo, jifanyie self evaluation kwanza kama unaelewa kinachozungumzwa au lah? Kama huelewi basi kaa utulie
 
Mkuu unadhani CCM kuja na card za ki -electronic limetokea kwa bahati mbaya?
 
Okay
 
Aisee
 
Kilichosemwa hapa ni kuunganishwa INEC na NIDA. Zote ni idara za serikali.

Ushahidi wa kuunganishwa na CCM bado tunasubiri, labda iwe kuna kitu kimenipita.
 
Kuna kitu hujaelewa kumbe, hapo wale ambao hawatajitokeza kupiga kura ni sawa na walioenda maana watapigiwa huko juu kwa juu na kujumuishwa smbamba na kupata idadi kubwa ya waliojiandikisha pasipo uhalisia
Kaelewa ila chawa kazi yake kubisha kila jambo
 
Hii inaitwa fukua kaburi na mifupa tunaondoka nayo asante tekinolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…