GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata kama lakini kushukuru kwa amani iliopo πŸ™
 
Kilichosemwa hapa ni kuunganishwa INEC na NIDA. Zote ni idara za serikali.

Ushahidi wa kuunganishwa na CCM bado tunasubiri, labda iwe kuna kitu kimenipita.
Kwahiyo kwa akili yako unategemea CCM wakiri hadharani kuwa wamejiunganisha na NIDA na INEC?
 
Kuungunisha mifumo hiyo sio shida, shida ni kuitumia vibaya.

Na ukitaka kujua inatumika vibaya ni Tume ya uchaguzi kukana.
 
Ukiwaona kama wana akili timamu kumbe...
 
Ujuaji mwingi akili hauna.
 
Kuna kitu hujaelewa kumbe, hapo wale ambao hawatajitokeza kupiga kura ni sawa na walioenda maana watapigiwa huko juu kwa juu na kujumuishwa smbamba na kupata idadi kubwa ya waliojiandikisha pasipo uhalisia
Kichaa huyo.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ni suala la muda tu tuendelee kuwapa elimu watoto wetu siku itafika wajinga watapungua kwenye taifa hili na ndio utakuwa mwisho wa CCM
 
Wameanza kukanyagana wenyewe. Mwenyekiti wa Tume alisema mfumo wao haujaunganishwa na mfumo wa NIDA na mfumo wa chama chochote cha siasa.

Hapa sasa nani mkweli. Mkuu wa Tehama au Meenyekiti???

Hoja ya Polepole iko palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…