GE2025 INEC: Walipoteza vitambulisho wa kura, watatumia leseni ya udereva, NIDA na Pasipoti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Nimeshangaa sana

Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.

Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣

Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?

Nchi yetu imeshanajisiwa..

Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi.

Ndo maana Nchi inawayawaya kama machela
================
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa mwongozo kwa wananchi waliopoteza kitambulisho cha mpigakura kutumia leseni za udereva, kadi ya Nida na pasi za kusafirisha huku wasioona wakitumia mfumo wa nukta nundu.

Hatua hiyo imetajwa kuwawezesha Watanzania kushiriki kikamilifu katika kupigakura kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025.

Msimamizi wa uchaguzi majimbo ya Mbeya Mjini na Uyole, Anamary Mbunga ametoa mwongozo huo wa INEC, leo Jumanne Oktoba 21, 2025, wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, zikiwa zimebaki siku nane kabla ya uchaguzi.

ā€œNi lazima kila mpigakura afike kwenye kituo cha kupigia kura akiwa na kadi yake, lakini kwa wale walipoteza wafike mapema kwenye vituo walikoboresha taarifa zao kwenye daftari la mpigakura sambamba na leseni ya udereva, Nida au pasi ya kusafiria ambavyo vina majina sahihi,ā€ amesema.

Katika hatua nyingine, Mbunga amesema kwa majimbo ya Mbeya Mjini na Uyole, kuna vituo 900 vya kupigia kura, lakini kwa Mbeya Mjini kuna kata 23 badala ya 36 za awali kabla hayajagawanywa.

Wakati huo huo amesema kwa sasa wagombea wote wa vyama vinavyo shiriki uchaguzi wanaendelea kufanya kampeni na wananchi wanajitokezq kusikiliza sera za vyama vyote.

Nyingi za namba hizi ni feki. Kuna watun wanawahadaa wengine kuwatafutia nida na kuzificha wakidai zizmechelewa ili zitumike kwenye uchakachuaji. Tunajua.
 
Tulishauri humu siku nyingi kwamba NIDA inatosha kupigia kura lakini leseni ya udereva hata ambae hana sifa za kupiga kura anaweza kupiga kura kwa mfano wageni wanaoishi nchini kwa vibali wanaruhusiwa kuwa na leseni ya udereva.
 
Nimeshangaa sana

Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.

Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣

Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?

Nchi yetu imeshanajisiwa..

Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi.

Ndo maana Nchi inawayawaya kama machela
Ndio maana nilikataa kujiandikisha, huu utapeli si utaki
 
hawa INEC si walikanusha tuhuma za pole pole alizaodai mifumo ya NIDA inasomana na INEC..iweje leo warudi kule kuke walipokanusha..sasa hao watakaopiga kura kwa NIDA watasomana vipi na INEC.? kwahiyo Tume ya uchaguzi wanakubali yale madai aliyotoa pole pole sasa kipindi kile walikataa nini kama wanafanya kitu kile kile walichokanusha.! kumbe ni kweli mifumo ya NIDA inasomana na INEC
 
Kukanusha hakutoshi. Ni wezi wangapi wanaiba na kukanusha hawakuiba wakati waliiba?
 
Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?
Umeamua kutokuelewa au una mihemko tuu, waliojiandikisha vipindi vya nyuma sio lazima wajiandikishe tena labla kuhakiki taarifa zako tuu.

Hao waliojiandikisha kipindi cha nyuma ndo walengwa wa hiyo ishu ya vitambulisho vya nida, udereva na passport.

Acha malalamiko, elewa.
 
hawa INEC si walikanusha tuhuma za pole pole alizaodai mifumo ya NIDA inasomana na INEC..iweje leo warudi kule kuke walipokanusha..sasa hao watakaopiga kura kwa NIDA watasomana vipi na INEC.? kwahiyo Tume ya uchaguzi wanakubali yale madai aliyotoa pole pole sasa kipindi kile walikataa nini kama wanafanya kitu kile kile walichokanusha.! kumbe ni kweli mifumo ya NIDA inasomana na INEC
Wabongo ni vichwa majina aisee šŸ™Œ

Kwan taarifa unazotoa ukijiandikisha kupiga kura zina utofauti gani na unazotoa kwenye nida?
 
Nimeshangaa sana

Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.

Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣

Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?

Nchi yetu imeshanajisiwa..

Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi.

Ndo maana Nchi inawayawaya kama machela
================
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa mwongozo kwa wananchi waliopoteza kitambulisho cha mpigakura kutumia leseni za udereva, kadi ya Nida na pasi za kusafirisha huku wasioona wakitumia mfumo wa nukta nundu.

Hatua hiyo imetajwa kuwawezesha Watanzania kushiriki kikamilifu katika kupigakura kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025.

Msimamizi wa uchaguzi majimbo ya Mbeya Mjini na Uyole, Anamary Mbunga ametoa mwongozo huo wa INEC, leo Jumanne Oktoba 21, 2025, wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, zikiwa zimebaki siku nane kabla ya uchaguzi.

ā€œNi lazima kila mpigakura afike kwenye kituo cha kupigia kura akiwa na kadi yake, lakini kwa wale walipoteza wafike mapema kwenye vituo walikoboresha taarifa zao kwenye daftari la mpigakura sambamba na leseni ya udereva, Nida au pasi ya kusafiria ambavyo vina majina sahihi,ā€ amesema.

Katika hatua nyingine, Mbunga amesema kwa majimbo ya Mbeya Mjini na Uyole, kuna vituo 900 vya kupigia kura, lakini kwa Mbeya Mjini kuna kata 23 badala ya 36 za awali kabla hayajagawanywa.

Wakati huo huo amesema kwa sasa wagombea wote wa vyama vinavyo shiriki uchaguzi wanaendelea kufanya kampeni na wananchi wanajitokezq kusikiliza sera za vyama vyote.

Hapo maana yake mifumo inasoma ya INEC(SISIEMU) na mifumo ya Pasipoti,leseni ya udereva na nida kama alivyosema polepole! nachoka kabisa brother yake clemence mwanandamo ,nimemaliza.
 
1761079525490.png
 
Naomba kuuliza,
Kama hauna access ya NİDA utahakiki vipi kuwa mtu anayepresent ID ya NIDA ya kuwa details zake ni legit?
Taarifa c zitafanana mkuu, Yn uwe na kitambulisho chenye majina, tarehe, na taarifa zingine za nida sawasawa na taarifa za kupiga kura afu wakuzuie, haiwezekani.

Ndo kinachozungumziwa hapo.
 
Back
Top Bottom