GE2025 INEC: Walipoteza vitambulisho wa kura, watatumia leseni ya udereva, NIDA na Pasipoti

GE2025 INEC: Walipoteza vitambulisho wa kura, watatumia leseni ya udereva, NIDA na Pasipoti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanaanza kuumbuka mapema,polepole alishaonya juu ya hili
 
Sasa ngoja nikupe mfano mimi kadi yangu ya kura mwaka tarehe ni tofauti na kadi ya Nida hadi majina herufi yanayofautiana jina langu ktk Kura limeandikwa kiswahili ktk nida kingereza utamkwaji ni mmoja ila ukiandika ukiosea herufi inakuwa tofauti .
Picha nayo ni tofauti?
 
We umelipws kiasi gani kila jambo unatolea ufaganuni mbaga. Umepoteza kitambulisho huna sifa ya kupiga kura fullstop kanuni zinasema wenye sifa ya kupiga kura lazima awe na kitambulisho cha kura na si vinginevyo .
Kila jambo natolea ufafanuzi?
Mambo gani hayo na mangapi?

Hakuna mahali nmetoa ufafanuzi ila nimesema nilivyoelewa mm, mm cjawahi kupiga kura wala siwezi kupoteza muda wangu kupiga kura.

Kama nngekuwa nmelipwa bc nngeanzishia uzi kabisa kuwaelewesha watu.
 
Polepole alitoa tuhuma kwamba mifumo ya Tume ya Uchaguzi (INEC) inasomana na NIDA.

Lakini INEC ikakanusha kwamba mfumo wao hausomani na NIDA. Leo wanasema asiye na kadi ya mpiga kura atatumia kitambulisho cha NIDA.

Sasa atatumiaje NIDA kama mifumo haisomani? Yani unawezaje kufanya kazi Tigo ukalipwa na Airtel?

Nachoooka mimi mjukuu wa Clemence Mwandambo 🤦🏽‍♂️


M
IMG-20251022-WA0042.jpg
alisa GJ.
 
Huenda ndio maana hadi leo WACHINA hawawezi shiriki FIFA WORLD CUP.
 
Back
Top Bottom