GE2025 INEC: Walipoteza vitambulisho wa kura, watatumia leseni ya udereva, NIDA na Pasipoti

GE2025 INEC: Walipoteza vitambulisho wa kura, watatumia leseni ya udereva, NIDA na Pasipoti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Humo hadi wahutu wataenda kupiga kura za uchaguzi feki.

Hapo sasa wameingia rasmi kukubaliana na alichosema Humphrey kwenye integration za hiyo mifumo.
 
Taarifa c zitafanana mkuu, Yn uwe na kitambulisho chenye majina, tarehe, na taarifa zingine za nida sawasawa na taarifa za kupiga kura afu wakuzuie, haiwezekani.

Ndo kinachozungumziwa hapo.
I guess swali langu lilikuwa ni wata hakiki vipi legitimacy ya hizo NIDA IDs? Au mtu akionesha NIDA na hilo jina lika match na kwenye system yao ya wapiga kura basi inakuwa safi
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
I guess swali langu lilikuwa ni wata hakiki vipi legitimacy ya hizo NIDA IDs? Au mtu akionesha NIDA na hilo jina lika match na kwenye system yao ya wapiga kura basi inakuwa safi
Mkuu, Kwan taarifa zilizopo kwenye kitambulisho cha nida yako na kitambulisho cha kupiga kura yako zinatofautiana?

Kwamba nida unaitwa Agent-47 Halafu cha kura unaitwa Agent-48?

Au tarehe ya kuzaliwa ni 01.01.1990 halafu cha kura ni 02.01.1990?

Mbona hii ishu n simple Sana kuelewa, em acha kukaza hicho kichwa.
 
Naomba kuuliza,
Kama hauna access ya NİDA utahakiki vipi kuwa mtu anayepresent ID ya NIDA ya kuwa details zake ni legit?
Ushaambiwa mifumo inasomana mpaka kizimkazi, unataka nini tena ?
 
Mkuu, Kwan taarifa zilizopo kwenye kitambulisho cha nida yako na kitambulisho cha kupiga kura yako zinatofautiana?

Kwamba nida unaitwa Agent-47 Halafu cha kura unaitwa Agent-48?

Au tarehe ya kuzaliwa ni 01.01.1990 halafu cha kura ni 02.01.1990?

Mbona hii ishu n simple Sana kuelewa, em acha kukaza hicho kichwa.
Hapana mkuu 😂😂

Hebu nivumilie kidogo. Nilikuwa naulizia legitimacy ya ID za nida maana si inaweza kuwepo ID feki?

Mfano, dada wangu wa kazi ameamua kwenda kupiga kura japo hakujiandikisha. Akaamua kutengeneza kijikitambulisho cha nida chenye jina Samia Suluhu Hassan. akatengeneza kijikitambulisho feki cha NIDA chenye taarifa za kufanana na mpiga kura flani, anaweza kuruhusiwa kupiga kura? Watathibitisha vp kuwa hiyo nida yake si halali?
Naomba ufafanuzi mkuu wangu.
 
Uwe na usiku mwema mkuu
 
Umeamua kutokuelewa au una mihemko tuu, waliojiandikisha vipindi vya nyuma sio lazima wajiandikishe tena labla kuhakiki taarifa zako tuu.

Hao waliojiandikisha kipindi cha nyuma ndo walengwa wa hiyo ishu ya vitambulisho vya nida, udereva na passport.

Acha malalamiko, elewa.
We umelipws kiasi gani kila jambo unatolea ufaganuni mbaga. Umepoteza kitambulisho huna sifa ya kupiga kura fullstop kanuni zinasema wenye sifa ya kupiga kura lazima awe na kitambulisho cha kura na si vinginevyo .
 
Mkuu, Kwan taarifa zilizopo kwenye kitambulisho cha nida yako na kitambulisho cha kupiga kura yako zinatofautiana?

Kwamba nida unaitwa Agent-47 Halafu cha kura unaitwa Agent-48?

Au tarehe ya kuzaliwa ni 01.01.1990 halafu cha kura ni 02.01.1990?

Mbona hii ishu n simple Sana kuelewa, em acha kukaza hicho kichwa.
Sasa ngoja nikupe mfano mimi kadi yangu ya kura mwaka tarehe ni tofauti na kadi ya Nida hadi majina herufi yanayofautiana jina langu ktk Kura limeandikwa kiswahili ktk nida kingereza utamkwaji ni mmoja ila ukiandika ukiosea herufi inakuwa tofauti .
 
Waliwasomba kwa malorry na ma trekta ya ng'ombe sasa kupiga kura hawajui wawasombeje.
 
Taarifa c zitafanana mkuu, Yn uwe na kitambulisho chenye majina, tarehe, na taarifa zingine za nida sawasawa na taarifa za kupiga kura afu wakuzuie, haiwezekani.

Ndo kinachozungumziwa hapo.
ku.manyoko mataga ww msengerema kbs hao inec si walikataa hawaingliani na nida ndo hoja ipo hapo sasa taifa linapoteza pesa nyng kwny kuandksha watu kupata vitambulisho vya mpga kura kumbe kulikuwa hakuna haja watu walikuwa wanaweza tu tumia nida mambo yakaisha maccm n majiz sn kila ktu ni dili la upgaji mb.wa koko ww.
 
Back
Top Bottom